Rais Magufuli Anaishi Maisha Halisi ya Mtanzania

Basham

JF-Expert Member
Oct 10, 2014
743
433
Habar wana JF

Tulikua tumezoea kuona viongozi wa Tanzania wakiishi maisha flani ivi ambayo hayaendani kabisa na Watanzania ambao wamemchagua na kumpa wadhifa flani

Lakini kwa Rais Magufuli ni mtu wa tofauti sana anayajua maisha halisi ya mtanzania nje ndani ndo mana na yeye anaishi maisha yale yale tunaiyoishi huku kijijini kwetu.

Kuna matukio mengi ambayo Mh. Rais ameshayafanya au kushiriki kama mtanzania wa kawaida, Kwa hilo kwa kweli binafsi nampongezaa

Nawasilisha
 
Umewasilisha nini?
 
Mh. Rais anaishi maisha ya kawaida kama tunayoishi sisi kijiji kwetu mkuu ww binafsi unaonaje kwa maoni yako ndo nilichowasilisha
 
Duh!

Hiyo kool aid mliyonyweshwa ni hatari.
 
Umelewa kumsifia rais, unajilinganisha maisha yako na magufuli. ngoja nikuache utafute reasoning unayolingana nayo

Asilimia kubwa ya watanzania tunaishi kijijin mkuu na maisha yetu kutoka Tarime to Ruangwa sidhani kama yanatofauti sana, mana kero ni zile zile

Kama uku kwetu nazoa taka kwa mkono na sini kama ni uchafu kivile na mhe Rais anafanya the same kwa nn nisijifananishe nae kwan dhambi
 
Watu wamelishwa unga wa ndere...

N mwendo wa vigeregere tu hakuna kufikiri...

Kwahiyo wewe mleta mada unaishi maisha sawa na Magufuri...?
nakwambia watu wamelishwa maji ya nanii, hawafikiri tena, eti jitu linasema eti Magu anaishi maisha kama ya mleta mada, stupid huyu mtu. Limelewa , akili hakuna kufikiri kabisa. Nadhani humu JF kuna haja ya kuchagua msg /posts to read
 
Ha ha ha! Eti Rais anaishi maisha ya kijijini kwenu! Mbona hueleweki wewe? Yaani yale mabanda ya tembe pale kijijini kwenu ndio unayafananisha na ule mjengo mweupe - Ikulu? Yaani wale maksai au punda pale kijijini kwenu ndio equivalent na yale ma-bullet proof meusi? Acha ujinga Mkuu usitake kutibua watu bure.
 
Mh. Rais anaishi maisha ya kawaida kama tunayoishi sisi kijiji kwetu mkuu ww binafsi unaonaje kwa maoni yako ndo nilichowasilisha
Sasa ulitaka aishije??? Ka malaika au?? Au ye si binadam kama sisi??? Kifupi anaishi maisha ya kawaida kwa sababu anajua binadamu wote sawa sa sijui we ulitaka aishije....
 
mtu anakaa ikulu jumba lenye kila kitu cha starehe unasema anaishi kama wewe? ahame ikulu akaishi buguruni kwa mnyamani ndio tutajua anaishi kikawaida
 
Habar wana JF

Tulikua tumezoea kuona viongozi wa Tanzania wakiishi maisha flani ivi ambayo hayaendani kabisa na Watanzania ambao wamemchagua na kumpa wadhifa flani

Lakini kwa Rais Magufuli ni mtu wa tofauti sana anayajua maisha halisi ya mtanzania nje ndani ndo mana na yeye anaishi maisha yale yale tunaiyoishi huku kijijini kwetu.

Kuna matukio mengi ambayo Mh. Rais ameshayafanya au kushiriki kama mtanzania wa kawaida, Kwa hilo kwa kweli binafsi nampongezaa

Nawasilisha

KIJIJI CHENU KIMEENDELEA KUTOA PESA BANK 50000 MNAENDA NA BMW
 
nakwambia watu wamelishwa maji ya nanii, hawafikiri tena, eti jitu linasema eti Magu anaishi maisha kama ya mleta mada, stupid huyu mtu. Limelewa , akili hakuna kufikiri kabisa. Nadhani humu JF kuna haja ya kuchagua msg /posts to read

Maisha halisi ya mtanzania ni yap mkuu. Punguza jazba basi
 
Muelewen mleta mada vizuri ana ujumbe uliojificha. Anamaanisha rais anaish kimajungumajungu tu kiuswahili uswahili mfano mzuri alipomtumbua kabwe mbele ya kadamnas. That's too low for a president to do. Mambo kama haya yananikatisha tamaa ya kujiendeleza kielimu ama kimasomo. Nimeamua kukomaa na kubeba boksi na form four yangu ya kuunga unga si English nafaham kwani shida ipo wapi??
 
Binfsi sioni cha zaidi tofauti na maisha kuzidi kuwa magumu kila kukicha!
 
Watu ni wavivu wa kuwaza mbali kidogo mkuu, asante kwa kunielewa
 
mleta mada kuna nyumbu wazungusha mikono wameingilia thread yako...wengine walikua wanufaika wa Kabwe...kwaiyo wewe achana nao wana stress
 
Binfsi sioni cha zaidi tofauti na maisha kuzidi kuwa magumu kila kukicha!

Mwanzo cku zote ni mguu mkuu tumpe mheshimiwa ushirikiano ipo cku mambo yatakaa sawa bado ana kazi kubwa sana ya kuisafisha nchi hii
 
Maisha halisi ya mtanzania ni yap mkuu. Punguza jazba basi
Unaudhi kwa kutofikiri kwako. Watu tunalipa ada kuwapeleka shule halafu unaandika utumbo. We angalia walivyokuzodoa woooote waliojibu. Unaishi kama Magufuli? Baba na mama yako wanaishi Ikulu eh! Wanasafiri kwa ndege kwenda wanakokwenda eh! Wanalindwa na taifa hili eh, wanakula chakula kilichopimwa kabla ya kuliwa. Watoto wao including you wanaangaliwa na serikali..........................................
 
Back
Top Bottom