Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na Mwandishi Wetu, Dodoma CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimepongeza hatua zinazochukuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan katika kuimarisha Diplomasia ya uchumi na ushirikiano wa kimataifa. Chama...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Watu tukisema kuwa Rais was Sasa hafai kuongoza nchi, wale wote waliopo madarakani au ambao wanashiriki kwa namna moja au nyingine kutafuna nae keki ya taifa huwa wanatushambulia Sana na pengine...
10 Reactions
35 Replies
3K Views
Mchungaji Matsai wa Kanisa la KKKT kimara amewataka waumini wake kuchukua tahadhari dhidi ya Corona kwa sababu siyo kila jambo ni lazima Rais atoe kauli. Mchungaji amesema kama unaona kuna tatizo...
3 Reactions
59 Replies
5K Views
Kupitia kipindi cha Papo kwa Papo kinachorushwa na Channel ten Katibu wa uenezi wa CCM ndugu Polepole amesema chama chake kimetoa msaada wa kisheria kwa mama mjane wa eneo la Mabibo aliyeporwa...
2 Reactions
76 Replies
7K Views
Katibu mwenezi wa CCM na Mbunge wa kuteuliwa anaendesha kipindi mubashara cha "Papo Kwa Papo" saa 3 usiku lkn anawapigia simu watendaji wa serikali akitaka watolee ufafanuzi baadhi ya kero za...
28 Reactions
132 Replies
15K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho...
9 Reactions
103 Replies
11K Views
Wale watu wanaojifanya hawependi siasa wala hawaoni tija kushriki katika siasa leo wameona na wamejifunza kupitia kuharibika kwa mechi kati ya Simba na Yanga kwamba siasa ndio kila kitu na huwezi...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Binafsi nimeshaanza kuuona mwanga kupitia mboni za macho ya Rais Mama Samia. Ninamuona Rais Samia akizifuata nyao za Angel Makel wa Ujerumani. Kama Rais mwanamke ni vizuri covid 19 ikipungua...
6 Reactions
41 Replies
4K Views
Baada ya Mwendazake television ya Taifa TBC sasa imeanza kubadilika, Katika kipindi cha Hadubuni Leo Mwandishi wa habari amewahoji manesi wastaafu wa muhimbili waishio Magomeni ambao walistaafu...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Serikali ya Tanzania imesitisha utekelezaji wa kanuni za kukagua nyimbo za wasanii kabla hazijapelekwa kwenye redio, televisheni na majukwaa mbalimbali. Uamuzi huo umetolewa leo Jumamosi Mei 8...
4 Reactions
48 Replies
5K Views
Serikali kwakuwa nyie ndio mmetajwa katika taarifa ya TFF kuwa mmeagiza mechi ya Simba na Yanga isogezwe mbele mpaka saa 1:00 usiku badala ya kuanza saa 11:00 jioni kama ilivyokuwa imepangwa...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
  • Poll Poll
Kufuatilia kauli ya Raisi Samia kuwa atateu watu wa kufanya nae kazi bila kujali itikadi zao; je utaunga mkono ikitokea Lissu anateuliwa kwa Mwanasheria Mkuu wa serikali? Mbali na kupiga...
24 Reactions
107 Replies
8K Views
Mwaka 2015 Mbowe alifanya juu chini ili ampe nafasi Lowassa ya kugombea urais. Na ndipo hapo akakaribisha mamluki kibao toka CCM ambao walikuja kuharibu morali na nguvu tuliyokuwa nayo makamanda...
1 Reactions
111 Replies
8K Views
Habari wadau..! Kipindi cha Magufuli wanyonge walikula bata ila ss nao wataishi kama mashetani mda si mrefu na kuna kila dalili hizo. Kuna dalili ya kwamba 1. Machinga kuondolewa kando kando ya...
6 Reactions
53 Replies
3K Views
Sisi tulikuwa tunakusapoti umetuangusha sana, kitendo cha leo serikali yako kuingilia masuala ya Soka na kupelekea kuvunjika kwa pambano la soka kati ya timu za Yanga na Simba kinasikitisha sana...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga...
13 Reactions
202 Replies
13K Views
Tunapoongelea ulofa, sio tusi, ila ni hali ya akili kushindwa kujiongeza na kuzigeuza changamoto zako za kimaisha na kiuchumi kuwa fursa. Sio kila fursa inayopatikana kwa kuwa mwana CCM ni...
38 Reactions
103 Replies
9K Views
Tazama mawingu angani ujue mvua itanyesha. Tazama ishara Kama yanatokea mabadiliko ya sera. Rais anasema anataka watu wote wafanye. Rais anasema vijana hawana sababu ya kuiba. Ile hotuba ya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mabibi na mabwana pongezi nyingi zimfikie mama Samia rais wetu. Ama kwa hakika kajua namna za kukonga nyoyo za watu wake. Mama amekuwa muwazi. Sote sasa tunajua angalau tulipo na tunakoelekea...
17 Reactions
39 Replies
4K Views
Naona wapinzani wa marehemu; wanaopigana na mtu ambaye haongei wala hasikii wameanza kupungua. Hii ni ishara kuwa zile hatua tatu tutakazopitia tumeanza kumaliza ya kwanza! Wamemchafua lakini...
3 Reactions
6 Replies
733 Views
Back
Top Bottom