Kwanza nawapongeza katika jitihada zenu kuhakikisha wanachama wenu wanapata huduma bora.
Hakika mmejitahidi kwa ubora wa huduma ikiwa ni pamoja na kutolea ufafanuzi wa uposhaji wa baadhi za...
Mimi nawajua hawa jamaa vizuri wao wanayo namna ya kutafuta kiki za kisiasa kwa kutumia udhaifu na makosa ya CCM. CCM ikijisahau na kufanya makosa kwa kuruhusu ufisadi basi hapo ndipo hukomaa na...
Mara nyingi viongozi wafanyapo state visits wanakuwa na wenza wao wa ndoa. Ziara ya Rais Samia ya siku 2 nchini Kenya imeonesha picha ya couples wakati wa state banquet, lakini kwa upande wa...
Kabla ya kuingia madarakani Hayati Magufuli walikuwa wanataka kiongozi mkali atayepinga ufisadi na kupambana na wala rushwa. Atakayekemea wanaotumia vibaya madaraka na wazembe.
Bahati mbaya...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la pongezi kwa Rais Magufuli na awamu yake ya tano.
Naomba kuanza na angalizo,
Kuna watu wana allergy na pongezi zozote kwa rais Magufuli na awamu yake ya 5, hivyo...
Huu ni ubaguzi wa wazi kabisa kwa wazee wa mikoa mingine. Maana kama rais wa JMT hatakiwi kuwabaghua wazee wa mikoa mingine maana nao ni wazee wa taifa.
Kama ulitaka kuzungumza na wazee ungeteua...
Tunapoenda tunaelekea pabaya sana. Na hii ni dalili mbaya sana ya kuwepo kwa viongozi wanafiki na wasiofaa katika jamii yetu.
Rais wa JMT ni sehemu ya bunge, bunge la JMT lina mamlaka ya...
Nimeona mwongozo wa spika kwa viongozi wa vyama vya siasa kuhusu kufukuza wanachama wabunge.
Naona huyu bwana anataka kuujulusha umma kuwa wabunge ni wanachama wa vyama wa daraja la kwanza ambapo...
Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) tumesikitishwa na tunalaani kitendo cha Baraza la Sanaa la Tanzania (BASATA) kuufungia wimbo uitwao ‘MAMA’ ulioimbwa na Msanii wa Mziki wa Kizazi Kipya...
Naomba kuzungumza na wenyeji wa jiji la Dar na viunga vyake hususan wafanya biashara. Ni hivi, ujambazi wa kutumia silaha umerejea kwa kasi sawa na maambukizi ya Corona.
Na ujambazi wa safari hii...
Wote tunajua serikali ya Rais Samia ina waziri mmoja na manaibu waziri watano waliopitia kwenye mikono ya Mbowe kimalezi pale Chadema.
Tunaye waziri Kitila Mkumbo na tunao manaibu waziri Mwita...
Jana nimemsikia Rais Samia Suluhu Hassan akidai kuwa ataanza kuteua nafasi za uongozi bila ya kuangalia vyama.Hilo halina ukakasi kwa mujibu wa sheria zetu ila kwangu mimi naamini kuwa hizo ni...
Akiwa nchini Kenya, Rais Samia alieleza kuwa nia ya kuizuru Kenya mapema sana ilikuwa kujitambulisha kwa majirani kwa kuwa alikuwa "mpangaji mpya"!
Leo akizungumza na wanaoitwa "wazee wa Dar es...
Wanabodi, nawasalimu kwa jina la JMT.
Ni hivi, mwaka 2015 katika vikao vya ndani ya CCM na hasa NEC vilipitisha majina 5 ya wagombea ambao ni Magufuli, Membe, January, Asha-Rose na Balozi Amina...
Leo nimemtembelea ndugu hospitali ya Taifa Muhimbili. Gharama alizonieleza imebidi nione haja ya Serikali yetu kufanya Jambo katika hili.
Wacha gharama za usafiri wa mgonjwa na wauguzi kutoka...
Athari za uongozi dhaifu zilizoletwa na uchama kuanzia wenyeviti wa vitongoji hadi madiwani zinavyokinzana na maendeleo.
Tafiti ndogo niliyoifanya mikoa mbalimbali hasa mkoa wa Kagera nimegundua...
Mbunge wa Kahama Mjini kupitia CCM Jumanne Kishimba, ameiomba Serikali ifungue chuo cha wizi kwa kuwa matukio ya wizi katika sekta za umma na Halmashauri nyingi umeshamiri kwa kiasi kikubwa na...
Baada ya kelele za kuwakumbusha kuwa hatuko tena awamu ya tano, kwa aibu na fedheha kubwa kama kuku aliyenyeshewa mvua Polisi wamekubali mkutano wa ndani wa Chadema ufanyike.
Fedheha nyingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.