MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Tokea aingie Madarakani Viongozi mbalimbali hasa wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wanamiminika Ikulu Kisiwani Zanzibar Kujitambulisha pamoja na Jaji Mkuu na Waandamizi wengine.
Ni Mfuatiliaji kidogo wa Mambo / Masuala (issues) mbalimbali ila tukio hili sikumbuki kama Marais wengine wa Zanzibar walikuwa wakifanyiwa na Sisi Wananchi Kuonyeshwa kama huyu wa sasa.
Je, kwa wale Wabobezi wa Siasa na Masuala ya Itifaki (hata yale Nyeti) hapa JF kwanini iwe so Special hivi sasa kwa Rais Dk. Hussein Ali Mwinyi?