Rais Samia, amuru Tundu Lissu alipwe haki zake zote anazodai pamoja na hela ya matibabu

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,372
Mama Samia, kama kweli umedhamiria kurudisha umoja wa kitaifa na kutibu majeraha yaliyotokana na uongozi uliopita, moja ya jambo linalostahili kufanyika ni kwa serikali yako kumlipa Tundu Lissu haki zake zote zikiwemo fedha za matibabu baada ya kushambuliwa kwa risasi.

Japo mini si kiongozi ndani ya CHADEMA, ila ni imani yangu utapokutana na viongozi wa upinzani( viongozi wa CHADEMA), hili ni moja ya jambo wataloliwasilisha kwako lakini itakuwa ni uungwana kwako iwapo utalifanyia kazi kabla ya kusubiri kuombwa kufanya hivyo na viongozi wa CHADEMA.

Hivyo, Mama hii ni fursa kwako kuonyesha kuwa wewe ni Mama na zaidi uko serious katika kurekebisha makosa yaliyofanyika chini ya utawala wa Hayati Magufuli.

Katika hili, usisikilize ushauri wa watu waliokuwepo katika serikali iliyopita hata kama umewapa nafasi katika serikali yako kwani naamini baadhi hawapendi kuona unafanya kinyume na mtangulizi wako hivyo wanaweza kukushauri vibaya.

Actions speak louder than words.

Nawasilisha.
 
jath.gif

Hapo Hapo
 
Tanzania ni ya Watanzania wote si ya maccm wala ya Mama Samia. Kumbuka HAKI HUINUA TAIFA hivyo Lissu ana haki ya kulipwa haki zake zote bila kupunguza hata senti tano. Mama ni lazima aiongoze nchi kwa haki, uwazi na usawa kwa wote bila kujali itikadi za raia au atapata tabu sana na Ikulu ataiona chungu.
CDM wanajiona wameula...kumbe maza anawalia kona ya kuwablast.
 
Mods naomba mvae viatu vya Tundu Lissu na msiunganishe hii mada.

Nikirudi kwenye mada, Mama Samia, kama kweli umedhamiria kurudisha umoja wa kitaifa na kutibu majeraha yaliyotokana na uongozi uliopita, moja ya jambo linalostahili kufanyika ni kwa serikali yako kumlipa Tundu Lissu haki zake zote zikiwemo fedha za matibabu baada ya kushambuliwa kwa risasi.

Japo mini si kiongozi ndani ya CHADEMA, ila ni imani yangu utapokutana na viongozi wa upinzani( viongozi wa CHADEMA), hili ni moja ya jambo wataloliwasilisha kwako lakini itakuwa ni uungwana kwako iwapo utalifanyia kazi kabla ya kusubiri kuombwa kufanya hivyo na viongozi wa CHADEMA.

Hivyo, Mama hii ni fursa kwako kuonyesha kuwa wewe ni Mama na zaidi uko serious katika kurekebisha makosa yaliyofanyika chini ya utawala wa Hayati Magufuli.

Katika hili, usisikilize ushauri wa watu waliokuwepo katika serikali iliyopita hata kama umewapa nafasi katika serikali yako kwani naamini baadhi hawapendi kuona unafanya kinyume na mtangulizi wako hivyo wanaweza kukushauri vibaya.

Actions speak louder than words.

Nawasilisha.
Kwani wewe ni msemaji wa lisu yaani kunawatu humu wanafikiri wao ni maofisa..
 
Pole pole tutafika tu. Mama anayeyanyoosha na majirani. Yeye mpangaji mpya. Hawezi kushindwa kuyanyoosha na wanaye.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom