Nchi Kavu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 4,271
- 2,401
Najiuliza hili swali hadi nachoka. Kwa mapinduzi yanayoendelea leo kupitia awamu ya sita iliwezekanaje? Ni utii wa aina gani watu hujengewa? Au ni uoga wa aina gani watu hupandikizwa? Au ni heshima? Leo hii Rais aliye madarakani anasema ni mpumbavu pekee asiye ns akili kufikiria uhusiano na nchi jirani ni tatizo.
Leo naona barakoa kwenye matukio ya kitaifa. Ni walewale waliokatazwa leo wanavaa tena kwa uhuru na kutoa ufafanuzi kwa nini barakoa (mwanangu alikuwa akisema basikora).
Najiuliza, mfano mwendazake ndio angekuwa kamaliza muda wake halafu kaingia mama. Angefanya haya tuyaonayo ilhali mstaafu anaona?