Tuwaite wabunge tu siyo 'Waheshimiwa'

nguruka wa kig0ma

JF-Expert Member
Jan 16, 2020
2,946
2,929
Neno heshima ni kubwa Sana kibinaadam hata kiroho, wabunge wa Tanzania kuwaita waheshimiwa Mimi inanitia kichefuchefu kwa sababu matendo ya mtu ndiyo yanayompa heshima.

Sasa hawa wabunge tunawaita waheshimiwa, mawaziri eti waheshimiwa!

Kwani tukiwaita ndugu waziri, ndg mbunge wanapungua nini?

Matendo na maneno yao hayawapi hadhi ya uheshimiwa.

Unamsikia mtu anachangia utopolo kabisa, anatukana waziwazi, au toka aingie bungeni Hana mchango wowote. UHESHIMIWA UNATOKA WAPI?

My take tuwaite ndugu waziri au ndugu mbunge uheshimiwa ni neno kubwa sana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom