Wizara ya Afya: Barakoa sasa lazima kwenye mikusanyiko

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,667
Nimeona tangazo la wizara ya afya jinsia wazee na watoto kupitia kitengo chake cha elimu kwa umma likisema uvaaji barakoa kwa sasa sio utashi ni lazima.

Sisi watanzania tulishasahau mambo hizi na tumepambana na waves zote za covid 19 bila haya mabarakoa na sasa mmeanza kutujaza hofu tena

Nimuombe tu rais kama corona ipo iweke nchi lockdown kwa miezi 3 ili tupambane na corona kama kule Kenya ulikokuwa

Afya.jpg

USSRView attachment 1778484

Corona ipo na hamna cha lockdown. Na hao walioagizwa kuvaa barakoa watavaa kwa lazima. Naona unalazimisha lockdown ili dhalimu aonekane alikuwa mtu mzuri kwa kutokuweka lockdown.
 
Watanzania sijui nani katoa ufahamu wao ....hawataki kujikinga corona kabisa....sasa amri hupandi dala dala bila barakoa huingii ofisi zozote serikali wala hospital bila barakoa utasikia mataga kelele
Mkuu naungana na wewe watz tunamazoea mabaya Sana kwani barakoa inauzito gani na ina shida gani ? hatuko salama mdudu huyu ni hatari anabadilika kila siku ,barakoa ni lazima na tuzivae tu hakuna namna ambae hataki habaki nyumbani kwake mbona utaratibu huu kipindi Cha kwanza tulisha uzoea ,hutaki vaa baki kwako
 
Back
Top Bottom