Kama ni gari ya chini kwa Mzee Mwinyi, kwanini isiwe IST au Fun Cargo za bei rahisi?

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Kulingana na hali halisi ya nchi yetu ya umasikini ningeshauri kuliko kumpa Rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi Benzi ya milioni 300 ambayo nasikia hata hivyo ameikataa bora tungempa zawadi ya gari aina ya IST au Fun cargo ambazo ni za chini zaidi kwa urefu na bei ni nafuu. Ni ushauri wangu tu.

3DEE07F8-8757-4949-8CF1-D17DB819588F.jpeg
E664DE09-FB78-4943-8032-7BD71295F3B2.jpeg


Rais wa Uruguay mstaafu Jose Mujica enzi ya urais wake (2010 - 2015) alikuwa anatembelea Voxwagen.

CEDC4A83-A2EB-4930-B7E4-3A5CC9CB6D56.jpeg


Aliopostaafu alipewa zawadi ya tractor.

8599C405-6EB6-4A43-A802-8DFF58C12D1E.jpeg
 
Mzee mandiko matakatifu yanasema mwenye nacho ataongezewa, Mwinyi anaweza hata kuamua kununua ndege ya kisasa au kununuliwa na mwanae, lakini bado pesa za umma zinatumika vibaya kupeana zawadi na wakati kuna watu wanadai mafao yao ya milioni 2 ni shida kulipwa tena wametumikia miaka kibao.
 
Mzee mandiko matakatifu yanasema mwenye nacho ataongezewa, Mwinyi anaweza hata kuamua kununua ndege ya kisasa au kununuliwa na mwanae, lakini bado pesa za umma zinatumika vibaya kupeana zawadi na wakati kuna watu wanadai mafao yao ya milioni 2 ni shida kulipwa tena wametumikia miaka kibao.
Rais kasema angekuwa na uwezo angewapa wastaafu hata elf 30 kwa mwezi nikajiuliza au alikuwa anataka kusema ana elf 10?
 
List ni ndefu
Carina Ti
Rumion
Ipsum
Porte nknk
Hata hivyo tusimlaumu sana bi mkubwa SASHA kashaurika vibaya na wapigaji wanaojiinua taratibu kwenye utawala wake
Naaaam washauri washauri wana Lao Fao.

Bi Mkubwa azinduke sasa kama sivyo atapitia wakati mgumu.

Moyo ni teketeke kuhimili yanayojiri mitandaoni atakosa usingizi.

Ateue wasio na vyama kumsaidia katika kufanya maamuzi kwa faida ya Taifa na sio chama.

Sasa hivi wapiga deal left right n center.

Mzee wa bwaga moyo yumo.

Mzee wa kule kwenye bundi wengi yumo.

Wale washamba wa kupenda wanawake wengi wenye mijing'ombe wamo.

Wale wa imani kuu mbili wamo.

Wale wa visiwani wasiopenda kujishughulisha kazi kudai cha kudai wamo.

Kazi ipo

Salama Mkuu?
 
Naaaam washauri washauri wana Lao Fao
Bi Mkubwa azinduke sasa kama sivyo atapitia wakati mgumu
Moyo ni teketeke kuhimili yanayojiri mitandaoni atakosa usingizi
Ateue wasio na vyama kumsaidia katika kufanya maamuzi kwa faida ya Taifa na sio chama
Sasa hivi wapiga deal left right n center
Mzee wa bwaga moyo yumo
Mzee wa kule kwenye bundi wengi yumo
Wale washamba wa kupenda wanawake wengi wenye mijing'ombe wamo
Wale wa imani kuu mbili wamo
Wale wa visiwani wasiopenda kujishughulisha kazi kudai cha kudai wamo
Kazi ipo

Salama Mkuu?
Salama kabisa kiongozi wangu! Umenena vema na kwa weledi wote.. Bimkubwa kazungukwa na scavengers kila upande

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom