mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,017
- 3,037
Bila kupepesa macho hapa nainyooshea kidole CCM,ambacho mimi ni mshabiki wake.
Tatizo ni nini hasa? mmekosa washauri? hamna tena watu wa kuona mbali japo hatua hata mia moja!?
Hivi kwanini kushiba/kushibishana nyinyi tu?
NAKIRI hatuna upinzani madhubuti lakini kisiwe kigezo cha kuwanyanyasa wananchi.
Mfano huu utaratibu wa kujengeana nyumba,kupeana mizawadi ya gharama,mtu kuendelea kupokea mshahara licha ya kuwa amestaafu wakati vijiji kama mtimbwilimbwi, mawindi, isunula, nakopi, ndechela nk havina huduma muhimu ni aibu.
KWA hali ilivyo sasa nilitegemea chama kijikite zaidi kwenye kuisimamia serikali iboreshe huduma za kijamii na sio kuitafuna nchi.
WANANCHI tunajitahidi kufanya kazi lakini serikali inatuangusha kwa kutapanya kile tunachochangia
Asanteni,
NB:TUNAHITAJI FIKRA MPYA ZA KUNUFAISHA TAIFA CCM sasa imezeeka