Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza na Mjane wa Hayati Dkt. John Magufuli Mama Janeth Magufuli wakati alipomtembelea Nyumbani kwake Masaki...
Wengi mlishuhudia vituko vilivyofanywa na Wakurugenzi wakati wa Uchaguzi 2020. Vitendo vya Mkurugenzi wa Ubungo havinitoki kichwani. Kama tumeamua kuwa nchi ya Vyama Vingi. CCM inategemea...
Na Mwandishi wetu Mihambwe
Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu amekemea vikali tabia ya hujuma ya upigaji na uchezeaji wa miradi ya ujenzi ya kimaendeleo.
Hayo yamejitokeza kwenye ziara...
Mhe Rais Samia Suluhu Hassan hongera na pole kwa kazi kubwa na nzuri unayoifanya katika kufungua nchi yetu, kuhakikisha nchi yetu utawala wa sheria na uadilifu katika kila sekta nchini na wananchi...
Ushirikiano na Kenya usiangalie kingine ila maslahi ya Tanzania.
Rais Samia Suluhu Hassan ameitembelea Kenya katika ziara inayoelezwa kuwa imefungua ukurasa mpya wa mtangamano unaoashiria...
Kuna kesi nyingi ambazo watu ambao wamebambikwa , na kuwa watuhumiwa wa karne, haziendi mbele wala hakuna kinachoendelea.
Kuna Kesi ya yule aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa RAHCO, Tito Benhadart...
Huyu mama ana msimamo usioyumba tokea enzi za hayati Magufuli hajawahi kujipendekeza.
Tukumbuke kuwa hata mgombea ubunge wa Chadema kule Chato alipata kura nzuri tu.
Na hata Tundu Lisu wakati wa...
Tatizo hasa ni nini kwa sababu hata DPP Felleshi aliondolewa na sasa ni Jaji Kiongozi.
Kimsingi sheria imempa madaraka makubwa DPP so hata DPP atakayekuja bado mtamlalamikia tu akiwa anatimiza...
Rais Samia Suluhu ameadhimisha miaka 57 ya Muungano wa Tanzania kwa kutoa msamaha kwa wafungwa 5001 waliokuwa na adhabu za vifungo mbalimbali.
Kati ya wafungwa 5001 waliosamehewa 1,516 wameachiwa...
Makamanda wenzangu twendeni Muhambwe tukajazane majukwaani tuhakikishe CCM inashinda kwa kishindo kikuu.
CCM ya sasa imebadilika ndio tuliokuwa tunaitaka. CCM ya sasa inatoa uhuru wa kujieleza...
Hakuna pesa inayotosha ndio maana maisha yetu ni ya kutafuta pesa mpaka tunakufa.
Leo ni siku ya 53 tangu hayati mwendazake atwaliwe kutoka maisha haya... Wafaidikaji wa utawala wake wakajipa...
Kama mtakumbuka mwezi mmoja au miwili iliyopita nilileta taarifa ya kanisa lililojengwa katikati ya barabara na kupiga muziki mkubwa sana masaa 24 mtaa Kariakoo kata ya Kitete.
Baada ya viongozi...
Naona Msanii wa Katuni nchini maarufu kama Kipanya amegundua kuwa watanzania wapo na kiu ya kuona hali ya mifuko inabadilika.
Ameamua kumkumbusa Rais wetu jambo muhimu sana.
Nimepokelewa.
vizuri sana hapa Shirati na makamanda wakiwa na boda boda nyingi sana,wasafiri wenzangu walistuka maana nilikuwa kwenye (Hiace) daldala,makamanda tushirikiane.
Kesho tutakuwa kata...
Inawezekana ikawa bado mapema kumhukumu moja kwa moja ila kubwa linalomuangusha Mama ni kutaka kupendwa na kutekeleza kwa wakati mmoja. Kama kiongozi inapaswa ajue wapi pakubembeleza mahaba na...
Mwinyi hails Ndulu, Lipumba role in transforming Tanzania's economy
WEDNESDAY MAY 12 2021
Former President Ali Hassan Mwinyi speaks during a past event. Photo | FILE
Summary
The two, whose...
Kama hawa wabunge wanaoitwa COVID -19 ni haramu ni kwa nini Chama kinapokea (kama kinapokea) ruzuku inayotokana na watu haramu wanaovunja ibara ya 78(e) ya Katiba ya JMT inayotabanaisha kuwa ili...
Habari za wakati ndugu zangu wapendwa;
Andiko langu hili ninaliandika katika hali ya furaha na huzuni kwani najua kwamba kila atakaeseoma atatoa na tafakari yake.
Mimi ni Mtanzania ambaye kwa...
Nijuavyo kwa sasa Mbowe amebakia kuwa mwenyekiti wa CHADEMA tu hana vyeo vingine nje ya chama chake.
Kama ni kupoteza ubunge hata mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mh Mbatia amepoteza, boss wa ACT...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.