BAWACHA wapo Dodoma kupima kina cha maji

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,100
2,707
Polisi ya Tanzania ni ile ile. Jambo gani litawafika hawa wadada?

Hawa wadada lazima wafuate Sheria za Tanzania kama wengine wote tunavyozifuata.

Wanataka kulivamia Bunge kama wafuasi wa Trump walivyoivamia Congress.

Hawa watu hawana uzalendo.
Hawa ni vilaza au vipi?

Lazima tuwe na nidhamu Kama Taifa.
 
Kuna wanaodhani kuwa sheria zimekufa na Magufulim aliyeongoza kwa kuamini kuwa sheria ni msumeno! Majuzi nimesikia serikali ikisema kuwa BASAT isitekeleze sheria fulani iliyotungwa na bunge eti kwa sababu siyo sheria nzuri. Serikali inasimamia sheria haitungi sheria, kama ni sheria mbaya siyo kazi ya serikali kutoisimamia, ni kazi ya bunge kuifuta. Sasa huu mwanya wa kuona kuwa kuna sheria ambazo serikali utazikaidi ndio hata mimi nitakaotumia kwenda kuweka genge langu la kuuza miwa pale kwenye lango la Ikulu kama mwekezaji
 
Sio sheria ni kanuni.
Kanuni zinatungwa na taasisi au wizara
 
Polisi ya Tanzania ni ile ile. Jambo gani litawafika hawa wadada?

Hawa wadada lazima wafuate Sheria za Tanzania kama wengine wote tunavyozifuata.

Wanataka kulivamia Bunge kama wafuasi wa Trump walivyoivamia Congress.

Hawa watu hawana uzalendo.
Hawa ni vilaza au vipi?

Lazima tuwe na nidhamu Kama Taifa.
Sawa tunawasubiria waje
 
Tatizo ukiwa kiongozi halafu ukaanza kusema sijui hakukua na demokrasia sasa nataka demokrasia sijui na umoja gani, jamaa walikua washazoea kutii sheria Bila shurti sasa kauli Ile imewaamsha. Wataandama mpaka kwake. Binadamu ni mtu hatari sana. Yeye alitakiwa aseme tu uchaguzi uliisha kazi iendelee.
 
Hawawezi kuingia ndani ya Bunge mpaka Bunge libadilishe kanuni zake kuwaruhusu.
 
Polisi ya Tanzania ni ile ile. Jambo gani litawafika hawa wadada?

Hawa wadada lazima wafuate Sheria za Tanzania kama wengine wote tunavyozifuata.

Wanataka kulivamia Bunge kama wafuasi wa Trump walivyoivamia Congress.

Hawa watu hawana uzalendo.
Hawa ni vilaza au vipi?

Lazima tuwe na nidhamu Kama Taifa.

Bunge la majizi ya kura linatakiwa livamiwe na watanzania wote wanaojitambua.
 
Back
Top Bottom