Tundu Lissu: Samia ni Malkia mwenye kauli tamu

mjlol.png

Ukweli mchungu, Lissu yuko sahihi.
 
Mbona kauli tata sana ya Lissu. Ana kaulitamu lakini hatendi au tumweleweje Lissu .Au kauli ya juzi kuwa Mhe. Rais atateua hata nje yaCCM Lissu kanusa fursa. Kea mizenvwe ya uchaguzi wa mwaka jana ili mama akubalike kimataifa si ajabu kuna masharti anapewa na jamii ya kimataifa aoneshe serikali jumuishi. CCM hatujawahi kuwa na huruma kwa upinzani na mtaona 2025 eldctions.kumbukizi ya kufutiwa dola 500mln za barabara sumbaeangawalilofuta uchaguzi znz.
[/URL]
 
Balaa tupu
 
Back
Top Bottom