Video: Hivi ndivyo aliyekuwa DC wa Hai, Ole Sabaya alivyotumia madaraka yake vibaya kuiba, kutesa na kuua. Kwanini asiende jela huyu...?

The Palm Tree

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
7,012
2,000
Hawa ndiyo "vijana wa kazi"wa Mwendazake Magufuli...

Waliitumikia LEO kwa kuvunja sheria na maadili ya Utumishi kwa kunyanyasa wanaowaongoza (wananchi) kwa sababu wana madaraka na kusahau kabisa kuwa kuna KESHO...

Walitegemea KULINDWA NA MTU badala ya matendo yao ya HAKI..

Katika video hii (kwa hisani ya LEO TV & Malisa GJ) ni mkusanyiko wa matukio mabaya na maovu aliyoyatenda huyu aliyekuwa DC wa HAI, Ole Sabaya...

Yote haya aliyafanya kwa kutumia vibaya madaraka (abuse of power) yake ya u - DC kufanya ujambazi wa kidola kuiba na kutesa na kuumiza mahasimu wa kisiasa wa CCM na hasa Hayati Rais Magufuli huku akitamba kuwa ameagizwa na huyo aliyekuwa Rais...

Swali: Kama haya ni kweli, huyu mtu atawezaje kuiepuka jela..? Funzo kwa viongozi mliopo sasa. Tumieni mamlaka zenu vizuri. Don't abuse your power and authority. Kumbukeni CHEO NI DHAMANA TU, sio chako...
 
The Palm Tree

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
7,012
2,000
Hayati DC Sabaya anasema amepewa, "Special mission"

Hii special mission alipewa na nani?

Bila na shaka na Mwendazake John Pombe Magufuli...

Hivi inawezekana kweli kuwa, hawa Marais wa Tanzania huwatumia baadhi ya maDC na maRC kufanya ujambazi wa kidola kupora fedha za raia kinyume cha sheria?

Kama ndivyo, basi it was too much and unacceptable...!!
 
jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
33,483
2,000
Sabaya ni vema akafungwa aishi jela , akibaki uraiani usalama wake waweza kuwa mashakani , huyu lazima alipishiwe kisasi .
lema asingemkimbia basi.
By the way sisi watoto wa Chuga tumewapokea Lema na Sabaya mjini...
 
Pac the Don

JF-Expert Member
Feb 17, 2021
712
1,000
Hawa ndiyo "vijana wa kazi"wa Mwendazake Magufuli...

Waliitumikia LEO kwa kuvunja sheria na maadili ya Utumishi kwa kunyanyasa wanaowaongoza (wananchi) kwa sababu wana madaraka na kusahau kabisa kuwa kuna KESHO...

Walitegemea KULINDWA NA MTU badala ya matendo yao ya HAKI..

Katika video hii (kwa hisani ya LEO TV & Malisa GJ) ni mkusanyiko wa matukio mabaya na maovu aliyoyatenda huyu aliyekuwa DC wa HAI, Ole Sabaya...

Yote haya aliyafanya kwa kutumia vibaya madaraka (abuse of power) yake ya u - DC kufanya ujambazi wa kidola kuiba na kutesa na kuumiza mahasimu wa kisiasa wa CCM na hasa Hayati Rais Magufuli huku akitamba kuwa ameagizwa na huyo aliyekuwa Rais...

Swali: Kama haya ni kweli, huyu mtu atawezaje kuiepuka jela..? Funzo kwa viongozi mliopo sasa. Tumieni mamlaka zenu vizuri. Don't abuse your power and authority. Kumbukeni CHEO NI DHAMANA TU, sio chako...
View attachment 1784988
MATAGA njoo huku wanamchafua sabayaa!!!
 
TrueVoter

JF-Expert Member
Feb 13, 2008
1,574

Mtu mwenye akili timamu hawezi kufurahi kwa kusimamishwa kazi Sabaya..
Tatizo siyo Sabaya, tatizo ni mfumo mbovu kabisa wa namna viongozi kuanzia ngazi ya kijiji hadi taifa (mawaziri) wanavyopatikana..teuzi nyingi za viongozi zinapata watu ambao si viongozi!
Mnafurahi Sabaya kukaa pembeni, msishangae mkijaletewa kiongozi mbaya zaidi ya Sabaya..subirini mtaona!
 
King Kisali

JF-Expert Member
Nov 20, 2019
919

Ibilisi asimamishwe kazi watu wasifurahie ? Hata Kama mfumo unashida it's one step forward and a lesson to others .
 
wambogo

Member
Jan 6, 2017
24
75
Unapewa nafasi ya utumishiwa umma ili uwasaidie wananchi. Na kama ukishindwa kuwasaidia basi jitahidi usiwaumize
 
mkamanga original

JF-Expert Member
Jan 21, 2015
461
500
Sabaya hana tofauti na jambazi , sasa alimvamia Nandi alitaka amtie. Mwendazake na vibaraka wenzake ameumiza sana watu, walidhani mwendazake ataishi milele
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom