Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika muda wangu mchache wa kufatilia siasa nimejifunza kitu kimoja ambacho kwangu mimi ni kama kero, Watanzania tumekuwa tunashabikia siasa kama tushabikiavyo vilabu vya mpira au michezo...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za leo ndugu zangu, Uzi wangu leo utakua mfupi sana. Ni ushauri tu sifa za kugombea ubunge zibadirishwe walau mgombea awe na Shahada. Na wanaogombea udiwani walau wawe na diploma...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
. Tanzania ina pitia kipindi kigumu cha mpito kuelekea kwenye mfumo wa utawala Bora,unao zingatia sheria na katiba. Ni kipindi kigumu Sana cha maamuzi mazito tena magumu kurudisha utawala wa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimpe Hongera Rais wetu mama Samia Suluhu, kwa teuzi za wakuu wa mikoa alofanya. Nimependa kwani imekaa kimkakati zaidi na hasa kwa kuangalia uwezo na kushabihiana kwa wasifu wa wakuu hao na mikoa...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini wa Bakwata alhaj Seleman Kova amesema waislamu na wasio waislamu wanaahidi kumpa kila aina ya ushirikiano Rais Samia Kova amesema hayo wakati wa swala ya Eid El...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
1. Siasa ni ugonjwa na ukikomaa unakuwa kilema kisicho tibika wala kugusika. Mfano mzuri uvimbi uote nyuma ya kisogo halafu uunganike na "nerve system" hata uende wapi "operation yake ni ngumu...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa nini wanawake mnadai haki na usawa wa kijinsia huku mnashindwa kuonyesha umoja kwenye njia mnayoipitia katika kudai usawa na ile nadhalia ya kutaka kupewa nafasi kwenye mabalaza ya maamuzi? 👉...
3 Reactions
81 Replies
8K Views
Naona Raisi Samia katekeleza ahadi yake ya kushirikisha wapinzani katika serikali yake kwa kumteua Queen Sendiga wa chama kidogo cha upinzani cha Alliance for Democratic Change(ADC) kuwa Mkuu wa...
8 Reactions
41 Replies
6K Views
Mkuu wa mkoa wa Mtwara amewatembelea vijana wenye mitambo ya kienyeji ya kuzalisha pombe ya gongo kwa kutumia mabibo. RC huyo amefurahishwa na ubunifu wa vijana hao na kuchukua sampuli ya gongo...
8 Reactions
64 Replies
8K Views
  • Closed
Kabla ya kutoka bungeni baadhi ya wabunge wa UKAWA jana, Professor Lipumba aliweka wazi aliyoyaongea kanisani waziri mmoja wa Serikali ya Muungano. Lipumba alisema kuna waziri kaenda kuhutubia...
48 Reactions
931 Replies
90K Views
Polsi yoyote yule anapaswa kuwa wa mwisho kuamibiwa kwenye mapambano ya rushwa na pia nilizani taasisi kama PCCB inahitaji kwanza kiongozi mwenye record za kutisha kwenye Maadili ya utumishi wa...
1 Reactions
0 Replies
970 Views
Siku hizi kila ukiingia mtandaoni utakutana na uzi wa kupinga, kupongeza, kuelekeza au kufananisha na Mtangulizi wake. Hivi haya yote ni kwa kuwa hatujawa na historia ya kuongozwa na Mama au tu...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Kati ya vitu vinavyotupa umoja na mshikamano na kuchochea maendeleo ni Mwenge wa Uhuru. Kazi Iendeleeee! Mwenge wa Uhuru unawashwa tarehe 17 Mei 2021 huko Makunduchi na Utazimwa Wilayani Chato...
1 Reactions
11 Replies
44K Views
Mtakumbuka mwaka 2019 waziri Mkuu Kasim Majaliwa aliibua wizi mkubwa wilayani Iramba mkoani Singida. Waziri Mkuu katika ziara yake aliwaambia wanainchi kuwa serikali ilitenga mabilioni ya fedha...
7 Reactions
81 Replies
7K Views
Leo Mei 14, 2021, Eid Mosi, Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) likiongozwa na Mwenyekiti. John Pambalu wamefika Gereza la Ukonga kuwaona Masheikh wa Uamsho. Askari Magereza wamewazuia kuwaona kwa...
9 Reactions
44 Replies
4K Views
Hii "Jamuhuri ya mitandao" ina vichekesho vingi sana na vya kusisimua. Kelele ni nyingi sana kwenye Jamuhuri hii ya mitandao. Mpaka sasa, DPP amepachikwa shutuma nyingi ikiwemo kubambikia watu...
6 Reactions
98 Replies
8K Views
Nipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kuondolewa na kukiita usalaliti kwa chama. Kiukweli Sabaya licha ya U-DC alikuwa Hi kwa...
21 Reactions
114 Replies
13K Views
Nilizoea kukuona jukwaani kwenye band za akudo na kwa wazee wa ngwasuma ukituza sambamba na wakina papa msoffe, papa ngoroo, papa mkunzi. Hasa kile kibwagizo cha wazee wa ngwasuma "wapi mtu ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Bw. Amosi Makalla anatajwa kuwa ni mkuu wa mkoa bora kwa mwaka 2016. Ikumbukwe kuwa mkoa wa Mbeya ni moja ya mikoa yenye upinzani wa kisiasa wa hali ya juu na jiji la Mbeya...
11 Reactions
40 Replies
8K Views
Nauliza tu kwa wajuzi wa protokali huko wizara ya Katiba na Sheria. Kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania hadi kuwa Jaji wa mahakama kuu kanda fulani, ni kupanda cheo au kubadili tu nafasi...
3 Reactions
42 Replies
7K Views
Back
Top Bottom