Rais Samia, Wana-CCM kuumia kuondolewa kwa Ole Sabaya siyo ishara njema kwako

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,894
22,658
Nipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kuondolewa na kukiita usalaliti kwa chama.

Kiukweli Sabaya licha ya U-DC alikuwa Hi kwa kazi maalumu ya kichama kuvunja ngome ya CHADEMA na hilo alilitimiza kwa kiasi kikubwa.

Wanaccm wamekuwa wachungu najua hapa JamiiForums kuna watu wako huko kwenye makundi wameona hali halisi na kule muhambwe kelele zimeanza kutolewa kuhusu mwenendo wako wa kuwaengua Pro John Pombe Magufuli na kuanza kusuka muungano na upinzani huku WanaCCM waliotembea kifua mbele wakianza kuwa ndio wapinzani

WanaCCM wanahoja za wewe kusema utaanza kuteua kutoka kokote sio mbaya maana hata John Pombe Magufuli aliteuwa lakini sio sera ya chama hapo unaonesha ubaguzi wa kuwataka WanaCCM waanze kujificha na kujiona sio priority tena.

Kijana Sabaya, Arusha alimbana sana Lema akafanikiwa akaenda Hai, Mbowe akaondolewa kuwaona viongozi wa BAVICHA na BAWACHA wakikesha wanakunywa kwa shangwe jua kuna sehemu umekosea na unazidi kukosea kila siku.

Kinachoitwa usaliti wa chama kwa kiongozi mkubwa kama wewe ni ishara mbaya sana.

Jitafakari

USSR
 
Back
Top Bottom