Rais Magufuli ameivunja Halmashauri hiyo na kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala kuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kuanzia leo Februari 24, 2021
Ameipandisha hadhi...
Huwa nagombana na Moderator ambaye anajivika jukumu la kubadilisha heading pasipo kuwasiliana nami nikamwelewesha maana najua anakuwa hajaelewa.na simlaumu kwa kutokuelewa.alipaswa aniulize na si...
Kwa kweli nchi yetu imejengwa kwenye misingi imara sana ya upendo na mshikamano. Hata katika tofauti zetu bado kuna upendo wa asili. Upendo usioweza kufutika kati yetu
Hakuna utajiri mkubwa zaidi...
Uongozi maana yake kuonesha njia na ku-influence wengine wawe vile utakavyo ama inavyotakiwa wawe.
Miongoni mwa mikoa yenye jamii ngumu kuziongoza kuelekea kwenye "peak" ya mapinduzi ya maendeleo...
Hivi karibuni, mijadala juu ya siasa za mitandaoni zinavyoathiri siasa rasmi nchini na kuathiri maamuzi ya kitaifa imeshika kasi. Limejitokeza kundi linalofurahi kuwa maoni yao wanayoyatoa...
Habari wakuu..
Kuna habari nimeisikia leo asubuhi imenichanganya kichwa..
Imenifanya nilewe bila kunywa..
Imenifanya nicheke bila kuchekeshwa...
Habari yenyewe ni kuhusu mkuu wa mkoa wa simiyu...
Wanabodi,
Ikiwa imebaki siku moja kabla ya kufanyika uchaguzi wa serikali za mitaa hapo kesho, wananchi wametakiwa kujitokeza kwa wingi, kuwachagua viongozi bora, huku wasimamizi wa uchaguzi...
Kama ilivyoripotiwa na mkuu wa Wilaya ya Hai, Ole Sabaya kuwahusisha wafanyabiashara wa mabasi siku chache zilizopita, uchunguzi umebainisha taarifa za Mkuu wa Wilaya hazikuwa na Ukweli.
My take...
Amekuwa akitunga mambo mepesi sana kuhusiana na matatizo yanayotokea kwenye masuala ya Chadema Arusha, Hitimisho linalotokana na uchunguzi wake ni la kusononesha mno! Ilipochomwa ofisi ya Chadema...
Nauliza tu maana Dodoma wamebakia akina mzee Mgaya na mzee Ndugai wengine wote wametimkia Dar es salaam kula sikukuu ya Eid El Fitr.
Ni kwamba Dodoma ni padogo au bado ni mashambani hakufai...
JINSI MAMA ALIVYOWAPIGA CHENGA YA MWILI WAPIGA KELELE WA MITANDAONI....
Baada ya Mama kutangaza kuwa angeteua hata wa upinzani kuitumikia serikali...vijana wa Chadema na ACT humu mitandaoni...
KUTOKA IKULU: Rais Magufuli kumuapisha RC mteule wa Kilimanjaro, Mama Anna Mghwira leo asubuhi saa 3:30 Ikulu jijini Dar.
=======
UPDATE:
IKULU, DAR: Rais Magufuli ameshamuapisha Mkuu mpya wa...
Vifo vya Watanzania 20 huko Moshi, ni uzembe wa Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro, Salum Hamduni.
Huyu Hamduni ndiye katoa kibali cha kufanyika mkutano na akaahidi usalama wa wa watu na mali...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimemkabidhi rasmi kadi ya uanachama wa chama hicho mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira ambaye alijiunga na chama hicho Desemba 2017.
Mghwira alijiunga na CCM...
Kheri ya EID.
Nitafurahi kama tutasaidiana kutafuta ufumbuzi hasa wa nani ana mamlaka na dhamana ya mtuhumiwa awapo mbele ya mahakama.
Natanguliza shukrani
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesema vyama vya siasa vinavyoshiriki Uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika majimbo ya Muhambwe na Buhigwe mkoani Kigoma na Uchaguzi wa Udiwani katika kata tano za Tanzania...
Katika muda wangu mchache wa kufatilia siasa nimejifunza kitu kimoja ambacho kwangu mimi ni kama kero, Watanzania tumekuwa tunashabikia siasa kama tushabikiavyo vilabu vya mpira au michezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.