Mkuu wa mkoa wa Mbeya Bw. Amosi Makalla anatajwa kuwa ni mkuu wa mkoa bora kwa mwaka 2016. Ikumbukwe kuwa mkoa wa Mbeya ni moja ya mikoa yenye upinzani wa kisiasa wa hali ya juu na jiji la Mbeya pia linaongozwa na upinzani.
Pamoja na kuwepo kwa hali hii amejitahidi sana kuwa neutral na kuifanya kazi yake ipasavyo bila kuukandamiza upinzani kama inavyo ripotiwa kwenye baadhi ya mikoa.
Aidha katika sakata la mwanafunzi wa Mbeya day aliyepigwa na walimu walio kuwa kwenye mafunzo ya vitendo, Makalla alionekana kubalance licha ya kwamba mawaziri watatu kuonekana kuwa upande wa mwanafunzi, Makalla alisema hakubaliani na kipigo cha namana ile lakini pia wanafunzi wa mbeya day ni wanafunzi wasiokuwa na maadili na hivyo wajirekebishe.
Pia baada ya Rais kuwaruhusu wamachinga kufanya biashara katikati ya miji, wakuu wengi wa mikoa wamekuwa waoga sana hata pale ambapo Wamachinga wamekuwa kisabibabisha usumbufu katika utoaji wa huduma za kijamii.
Pamoja na hali hii ya uoga kwa wakuu wengi wa mikoa, Makala amepiga marufuku Wamachinga kufanya biashara katika barabara ya kuelekea hosptali ya mwanjelwa, kwani walikuwa wanasababisha usumbufu kwa wagonjwa wanaoenda hosptali, kitu kinahitaji ujasiri.
Kwa haya machache, kwangu mimi RC Amosi Makalla is the best RC for the year 2016.