Queen Cuthbert Sendiga wa ADC ndio kawa mnawanasiasa wa kwanza kutoka upinzani na kutumika Serikali akiwa wanachama wa chama cha upinzani

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,372
Naona Raisi Samia katekeleza ahadi yake ya kushirikisha wapinzani katika serikali yake kwa kumteua Queen Sendiga wa chama kidogo cha upinzani cha Alliance for Democratic Change(ADC) kuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa.

Queen Sendiga ndie alikuwa mgombea urais kupitia chama cha ADC katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana(2020) na sijui kama amewahi kutangaza kujiunga na CCM kama ilivyokuwa wakati wa Magufuli ambapo ilikuwa ni shariti mtu ajiunge na na CCM(aunge mkono juhudi) kabla mtu huyo kupewa uteuzi.

Haya Mama tunaendelea kufutatilia utekelezaji wa ahadi yako hii ili tukupime kama kweli umedhamiria kufanya kazi na wapinzani.

Sendiga.jpg
 
Naona Raisi Samia katekeleza ahadi yake ya kushirikisha wapinzani katika serikali yake kwa kumteua Queen Sendiga wa chama kidogo cha upinzani cha Alliance for Democratic Change(ADC) kuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa.

Queen Sendiga ndie alikuwa mgombea urais kupitia chama cha ADC katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana(2020) na sijui kama nimewahi kutangaza kujiunga na CCM kama ilivyokuwa wakati wa Magufuli kabla mtu kupewa uteuzi.

Haya Mama tunaendelea kufutatilia.
Uko na picha ya Queen tuone?
 
Huyu mama aligombea urais. Alikuwa anawazungukia kwa mguu akina mama masokoni. Kila wakati katika hotuba zake alikuwa anajipigia promo akimuomba Magufuli amkumbuke kwenye teuzi zake
 
Naona Raisi Samia katekeleza ahadi yake ya kushirikisha wapinzani katika serikali yake kwa kumteua Queen Sendiga wa chama kidogo cha upinzani cha Alliance for Democratic Change(ADC) kuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa.

Queen Sendiga ndie alikuwa mgombea urais kupitia chama cha ADC katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana(2020) na sijui kama amewahi kutangaza kujiunga na CCM kama ilivyokuwa wakati wa Magufuli ambapo ilikuwa ni shariti mtu ajiunge na na CCM(aunge mkono juhudi) kabla mtu huyo kupewa uteuzi.

Haya Mama tunaendelea kufutatilia utekelezaji wa ahadi yako.

Asante mh.Rais kwa uteuzi huu....

KONGOLE mh.Queen Sendiga👋👋👊👊

Kila la heri kwake Aaamin Aaamin!!!

#TaifaKwanza
 
Jamani msione mtu anasema mpinzani basi mkadhani ni kweli mpinzani hawa wengine wako katika system wana mission tu huko ni kama kina Kafulila CCM na Serikali ina mtandao mkubwa maana huwezi kuniambia CCM yote ile hakuna mtu anaweza kuwa mkuu wa mkoa? Kuna watu wako tu lakini undercover.
 
Ni saikoliji tu.....
ni rahisi sana kuonekana ukiwa chama kidogo cha upinzani....
kuliko ukiwa ndani ya CCM.....
 
Back
Top Bottom