Amosi Makala tumekumiss jukwaani

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
Nilizoea kukuona jukwaani kwenye band za akudo na kwa wazee wa ngwasuma ukituza sambamba na wakina papa msoffe, papa ngoroo, papa mkunzi.

Hasa kile kibwagizo cha wazee wa ngwasuma "wapi mtu ya watu papa amosi makala makala makala eeeh"

Sasa hivi tumekumiss sana. kabla ya uwaziri ilikuwa ikipigwa hiyo mara moja unaenda kutuza.

Mkuu uwaziri umekuweka busy sana kiasi hicho?.

Karibu sana mh. Amosi Makala, kiti chako bado kipo.
 
Papaa Amosi Makala,mutu ya mungu,ikifa inazikwa na Mungu..wakongomani bwana kwa kusifiaa kibokoooo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom