Mbio za Mwenge wa Uhuru kuzinduliwa

Queen Esther

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
2,189
2,000
Kati ya vitu vinavyotupa umoja na mshikamano na kuchochea maendeleo ni Mwenge wa Uhuru. Kazi Iendeleeee! Mwenge wa Uhuru unawashwa tarehe 17 Mei 2021 huko Makunduchi na Utazimwa Wilayani Chato Mkoani Geita mwezi wa kumi.

Asante Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT, Rais makini mwenye kufuata philosofia za Mwl Nyerere (ili tuendelee tunahitaji watu, kazi, siasa safi na uongozi bora)

Kazi Iendeleeee!!
 
Alexander The Great

JF-Expert Member
Aug 28, 2018
4,207
2,000
Mama kajifunza somo kutoka kwa aliemtangulia madarakani, mwenge wa uhuru ndio uchawi wa kuwapumbaza watanzania aliekabidhia Mwalimu Nyerere na wazee.

Aliemtangulia mama aliudharau akauzima, mwisho wa siku na yeye akazimika.
 
mbenge

JF-Expert Member
May 15, 2019
2,277
2,000
Toka wakubwa walipogawana ndege tausi na kisha kusimamishwa kwa mbio za mwenge, taifa lilipata misiba mikubwa miwili ya watu waliopata kuiongoza nchi hii. Haya madubwashika yamejaa ushirikina mtupu, na kwa hakika ni mojawapo wa kile kinachoitwa kutunza siri za JMT.
 
Heeee! Kweni Mwenge wa Uhuru una kitu gani cha KISHIRIKINA hadi unaleta mauaji usipokimbizwa?
 
mbenge

JF-Expert Member
May 15, 2019
2,277
2,000
Heeee! Kweni Mwenge wa Uhuru una kitu gani cha KISHIRIKINA hadi unaleta mauaji usipokimbizwa?
"Baba (Mwl. Nyerere), sisi (waganga wa kienyeji) tunataka kuwasha mwenge na kuuweka juu ya mlima Kilimanjaro, umulike na hata nje ya mipaka ya nchi yetu, ulete matumaini mahala pasipo na matumaini, faraja palipo na huzuni, upendo palipo na chuki, heshima palipo na dharau" - Forojo Ganze (mganga wa kienyeji kiongozi)
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
42,608
2,000
Kati ya vitu vinavyotupa umoja na mshikamano na kuchochea maendeleo ni Mwenge wa Uhuru. Kazi Iendeleeee! Mwenge wa Uhuru unawashwa tarehe 17 Mei 2021 huko Makunduchi na Utazimwa Wilayani Chato Mkoani Geita mwezi wa kumi.

Asante Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT, Rais makini mwenye kufuata philosofia za Mwl Nyerere (ili tuendelee tunahitaji watu, kazi, siasa safi na uongozi bora)

Kazi Iendeleeee!!

Karne ya 21 bado mnaendekeza mambo ya kishirikina! Nashukuru mimi na mke wangu hatuamini huo ushirikina na watoto wangu wanasoma shule za private hawashirikishwi kwenye hayo mambo ya kishirikina.
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
42,608
2,000
Kwan rais aliepo si alikiwa msaidizi wa huyo JPM? ama yeye alikuwa anafanya hayo peke ake?
Na pia mwenge sio wa JPM kwamba had awepo ndio uwashwe aliukuta na ameuacha hio ni tamaduni waTz wayojiwekea
Sio watanzania wamejiwekea utaratibu wa kuzungusha huo ushirikina nchini, sema ccm ndio wamejiwekea utaratibu huo wa kuishurutisha nchi kuamini matambiko.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom