Wanabodi,
Hili ni angalizo tuu kuhusu utumbuaji majipu wa rais Magufuli, sio kila mtumbuliwa ni jipu, wengine wanatumbuliwa kwa circumstances tuu, wengine wanatumbuliwa for political...
Leo nimezikuta habari za Mzee wa Madrassatul Abraar ambae pia ni member wa JF kwenye group la kuwezeshana ujenzi zilizonifurahisha sana na nikajiuliza, hawa wazee wa Madrassa wamempiku hatua moja...
Na Thadei Ole Mushi.
Vijana wengi wa CCM ni vigumu kupimika kwa kuwa hata kwa wateuzi hawajui vijana hawa Wana uwezo Gani kwa kuwa mtindo wao ndani ya Chama hauwapi Fursa ya kuonyesha Wanajua...
Kwa mara ya kwanza sasa waTanzania wanaweza kujifunza wao wenyewe kupitia mfumo wa kisheria wa kidijitali unaopatikana simu janja za kiganjani.
Hatua hii imefikiwa kupitia msaada mkubwa wa Mfuko...
Kiongozi wa Ujerumani Angela Merkel amekuwa chancellor wa Ujerumani toka 2005
Jakaya Kikwete kamkuta kamuacha
John Pombe Magufuli kamkuta kamuacha
Samia Suluhu Hassan kamkuta
Huko duniani kafanya...
"Wastaafu hawa, wakae kimya, zama zao zimepita. Wasituharibie nchi yetu, wasimpotezee focus Rais wetu. Popote watakapojitokeza, tutawatwanga."- Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Hapi...
Mwenyekiti wa Chadema Mwamba Freeman Mbowe anaendelea na kampeni ya kuhamasisha upatikanaji wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi , kampeni hiyo imebatizwa jina la Operesheni Haki .
Anatarajiwa...
Ukiangalia teuzi za rais ni kama kuna list ya watu ambayo huwa tayari imeandaliwa kwaajili ya kuteuliwa. Yaani teuzi zinawazungukia wale wale.
Unakuta mtu akikosa ubunge au uwaziri atapata uRC...
Kwa muda huu saa10:30 asubuhi msafara wa mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe umewasili hapa katika viwanja vya Mahakama Kuu Mbeya kusikiliza hukumu ya mwanachama wao Mdude, ambaye alishitakiwa...
Rais Samia kawatumbua kwa kuwashambulia Machinga mtaani mkoani Morogoro.
Aliyetumbuliwa ni Bakari Msulwa Mkuu wa wa Wilaya ya Morogoro na Sheilla Lukuba Mkurugenzi Morogoro. NI kutokana na Mgambo...
Uongozi ni hekima na busara, Aggrey Mwanri alikuwa mkuu wa Mkoa mwenye vitisho, mikwara sana lakini hakuwahi hata siku moja kumlaza mtu ndani yaani Polisi
Akiwa Tabora alitembelea miradi kwa...
SERIKALI KUTANGAZA ZABUNI YA KUPELEKA MAWASILIANO MAENEO YA MIPAKANI
Serikali kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) inatarajia kutangaza zabuni ya awamu ya sita yenye lengo la kupeleka...
Ni vile tu ni kwa sababu ni vijana ni sehemu ya Chama, lakini naamini Mama hana jinsi lakini sote tunafahamu kuwa asilimia 90 ya vijana wa CCM ni wanafki, wamejawa na tamaa ya maisha huku wakiwa...
Sasa kama mjasiriamali amepewa fremu ili auze maji na soda ndani ya kituo ghorofani kwa kodi (rent) ya Tsh. 36,028,200/= kwa mwezi sawa na Tsh. 1,201,000/= kwa siku uhalisia uko wapi! Machinga...
Ni vile tu ni kwa sababu ni vijana ni sehemu ya Chama, lakini naamini Mama hana jinsi lakini sote tunafahamu kuwa asilimia 90 ya vijana wa CCM ni wanafki, wamejawa na tamaa ya maisha huku wakiwa...
Mwaka 2015 tulikuwa na uchaguzi mkuu wa viongozi wakisiasa.
Miongoni mwa wanasiasa waliogombea nafasi ya urais walinenwa kuwa ni wagonjwa hadi wakachafuana kwa matusi kuwa wanajichafua wakiwa...
Mh. Waziri wa ardhi nakuomba ufuatilie mgogoro wa ardhi Kizwite manispaa ya Sumbawanga unaosababishwa na maafisa ardhi wala rushwa kwa kushirikiana na matapeli wa viwanja mimi ni mmoja wa wamiliki...
Katika taarifa zilizotolewa na viongozi mbalimbali was serikali kuwa Mhe Rais ataongea na vijana.
Cha ajabu tangu saa 3 Asubuhi hadi sasa saa 6:25 ni taarifa za Wakuu wa mikoa wa kanda na taarifa...
Soma wanachosema madaktari mabingwa wa Afrika; Tanzania itaendelea kulala hadi itakapoamka?
Why Africa could face vaccine-resistant Covid
Summary : New variants of the SARS-CoV-2 are rapidly...
Ndugu zangu,
Ni kama siasa za dunia sasa zinafanana na aina ya wanasiasa iwe kutoka Afrika, Amerika au Ulaya wote wanafanana tabia.
Mwisho wa mwezi wa kumi mwaka 2020 ndugu Tundu Lissu aliitisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.