Kikombe1
Senior Member
- Feb 4, 2013
- 132
- 99
"Wastaafu hawa, wakae kimya, zama zao zimepita. Wasituharibie nchi yetu, wasimpotezee focus Rais wetu. Popote watakapojitokeza, tutawatwanga."- Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Hapi https://t.co/ukaE7VDiBZ
Kweli wapumzike wale matunda ya kustaafu kwao!"Wastaafu hawa, wakae kimya, zama zao zimepita. Wasituharibie nchi yetu, wasimpotezee focus Rais wetu. Popote watakapojitokeza, tutawatwanga."- Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Hapi https://t.co/ukaE7VDiBZ
Siku moja watu watakuwa wanasema hivi hivi kuhusu yule bwana, akinyanyua tu kinywa chake kutoa maoni yake hata kama kwa nia njema!"Wastaafu hawa, wakae kimya, zama zao zimepita. Wasituharibie nchi yetu, wasimpotezee focus Rais wetu. Popote watakapojitokeza, tutawatwanga."- Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Hapi https://t.co/ukaE7VDiBZ
Kwani kuna sheria inayowakataza kutoa maoni au ushauri? kama ipo basi wafunge tu midomo yao kwa usalama wao.Kweli wapumzike wale matunda ya kustaafu kwao!
Anafuata nyayo za aliyemteuwa. Hukumbuki alivyosema kuna wastaafu wanawashwawashwa!!Wazee wana nafasi muhimu sana katika jamii; hili linadhihilishwa na msemo wa kiingereza kuwa EXPERIENCE IS THE BEST TEACHER na ndio maana waswahili wanasema PENYE WAZEE HALIHARIBIKI NENO!!!!! Huyu Mkuu wa moka wa Iringa ni kijana mropokaji anayedhani kujipendekeza kwa waliomteua ni tunu!!! Inasikitisha.
Anafuata nyayo za aliyemteuwa. Hukumbuki alivyosema kuna wastaafu wanawashwawashwa!!
Sahihi kabisa. Naunga mkonyo hoja!Haka katoto kajinga sana, kameteuliwa kanadhani ndio kamemaliza maisha.
Hivi ndio vikikosa uteuzi vinaweza kuolewa mjini.
Haka katoto kajinga sana, kameteuliwa kanadhani ndio kamemaliza maisha.
Hivi ndio vikikosa uteuzi vinaweza kuolewa mjini.
kuna maisha baada ya uaRC"Wastaafu hawa, wakae kimya, zama zao zimepita. Wasituharibie nchi yetu, wasimpotezee focus Rais wetu. Popote watakapojitokeza, tutawatwanga."- Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Hapi https://t.co/ukaE7VDiBZ
Experientia docetWazee wana nafasi muhimu sana katika jamii; hili linadhihilishwa na msemo wa kiingereza kuwa EXPERIENCE IS THE BEST TEACHER na ndio maana waswahili wanasema PENYE WAZEE HALIHARIBIKI NENO!!!!! Huyu Mkuu wa moka wa Iringa ni kijana mropokaji anayedhani kujipendekeza kwa waliomteua ni tunu!!! Inasikitisha.