Freeman Mbowe aingia Kanda ya Kusini, ni katika Mkakati unaondelea wa Operesheni Haki

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
85,382
2,000
Mwenyekiti wa Chadema Mwamba Freeman Mbowe anaendelea na kampeni ya kuhamasisha upatikanaji wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi , kampeni hiyo imebatizwa jina la Operesheni Haki .

Anatarajiwa kuongoza vikao kadhaa vya Mashauriano ndani ya Kanda hiyo.

Pichani Mwamba Mwenyewe akisaini Kitabu cha Wageni baada ya kuwasili kwenye Ofisi za Kanda hiyo.

Official_BAVICHA_Taifa_on_Instagram:_“Mwenyekiti_wa_Chadema_Taifa_Mhe._Freeman_Mbowe_akisaini_...jpg
 
zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
13,527
2,000
Magufuli ndio alikua silaha ya mwisho ya CCM kuua CHADEMA.... Maadam tume survive sioni tena kinachoweza kuiua CHADEMA. Kwa sasa ipo clear kabisa kwamba chama mbadala kilichobaki ni CHADEMA tu hakuna ACT wala NCCR tena!!

2025 tukiwa na tume huru nauona uchaguzi moto moto kma wa 2015!
 
billmood

Member
May 11, 2013
41
95

Unataka kifo Mara ngapi, kuwa na mbunge mmoja bungeni ni kifo tosha
 
zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
13,527
2,000
Unataka kifo Mara ngapi, kuwa na mbunge mmoja bungeni ni kifo tosha
Jiulize chama kina mbunge mmoja afu inapewa slots 19 za viti maalum? Yaani chama kina kura za ubunge 2 Million afu kina mbunge mmoja? Hata huoni aibu kwamba kuna wizi obvious.

Chama kilichokufa hakiwezi hata kupewa kura million 2 na NEC!! Kiuhalisia hta hizo hizo kura million 2 zinge amount to majimbo si chini ya 50! Get serious
 
billmood

Member
May 11, 2013
41
95
Jiulize chama kina mbunge mmoja afu inapewa slots 19 za viti maalum? Yaani chama kina kura za ubunge 2 Million afu kina mbunge mmoja? Hata huoni aibu kwamba kuna wizi obvious.

Chama kilichokufa hakiwezi hata kupewa kura million 2 na NEC!! Kiuhalisia hta hizo hizo kura million 2 zinge amount to majimbo si chini ya 50! Get seriou
Kwnn isiwezekane ubunge anshinda kwa wingi wa kura na si asilimia za kura inawezekana hata kukosa kabisa. Imagine kila Jimbo uzidiwe hata kura mojamoja unaweza ukawa na kura nyingi kwa hesabu lakini usiwe na mbunge hata mmoja. Sasa kutoka kura m6 Hadi 2 hapo mnapanda au kushuka?
 
zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
13,527
2,000
Kwnn isiwezekane ubunge anshinda kwa wingi wa kura na si asilimia za kura inawezekana hata kukosa kabisa. Imagine kila Jimbo uzidiwe hata kura mojamoja unaweza ukawa na kura nyingi kwa hesabu lakini usiwe na mbunge hata mmoja. Sasa kutoka kura m6 Hadi 2 hapo mnapanda au kushuka?
Kumbe ukiachwa kura moja tu unaweza kosa kiti hta ukiwa na kura million 2?? Sasa kama unajua hilo kivp useme CHADEMA imekufa? Kama inakuwa second in contention (ukiachana na wizi) inakuaje imekufa?

Embu jichomeke kwenye huu umati afu uropoke CHADEMA imekufa!!! Kama hatujaletewa mifupa tu

billmood

Member
May 11, 2013
41
95
2015 kura M8 vs M6. 2020 kura mi12 vs m2. Hilo anguko unakionaje. Bado tu mnadanganywa na umati, kumbuka kura ni Siri. Ukitegemea hizo picha hamtaacha kujipamoyo kuwa mmeibiwa.
 
Nigrastratatract

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
863
1,000
Mwenyekiti wa Chadema Mwamba Freeman Mbowe anaendelea na kampeni ya kuhamasisha upatikakanaji wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi , kampeni hiyo imebatizwa jina la Operesheni Haki .

Anatarajiwa kuongoza vikao kadhaa vya Mashauriano ndani ya Kanda hiyo.

Pichani Mwamba Mwenyewe akisaini Kitabu cha Wageni baada ya kuwasili kwenye Ofisi za Kanda hiyo.

Mbowe huyu katili muongo dikteta tapeli la kisiasa ni wa kumhurumia sana maana ameshasomwa mbinuu zake zoote woote wamemsaliti akae tu alee wajukuu miaka 61 unahangaika kwwenye hamna counter attack atakayofanyiwa na CCM atamkumbuka JPM kwamba bora nilipata mbunge mmoja na madiwani viti maalumu 19 CHADEMA imemalizika hivyo na kama hawaamini wasuburie watakachofanyiwa na CCM YA wajuaji tayari katibu mwenezi ameshawqruka ukiona hvy ujue ni sauti kutoka juu
 
Nigrastratatract

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
863
1,000
2015 kura M8 vs M6. 2020 kura mi12 vs m2. Hilo anguko unakionaje. Bado tu mnadanganywa na umati, kumbuka kura ni Siri. Ukitegemea hizo picha hamtaacha kujipamoyo kuwa mmeibiwa.
expand...
Mbowe huyu katili muongo dikteta tapeli la kisiasa ni wa kumhurumia sana maana ameshasomwa mbinuu zake zoote woote wamemsaliti akae tu alee wajukuu miaka 61 unahangaika kwwenye hamna counter attack atakayofanyiwa na CCM atamkumbuka JPM kwamba bora nilipata mbunge mmoja na madiwani viti maalumu 19 CHADEMA imemalizika hivyo na kama hawaamini wasuburie watakachofanyiwa na CCM YA wajuaji tayari katibu mwenezi ameshawqruka ukiona hvy ujue ni sauti kutoka juu
 
Nigrastratatract

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
863
1,000
Kwnn isiwezekane ubunge anshinda kwa wingi wa kura na si asilimia za kura inawezekana hata kukosa kabisa. Imagine kila Jimbo uzidiwe hata kura mojamoja unaweza ukawa na kura nyingi kwa hesabu lakini usiwe na mbunge hata mmoja. Sasa kutoka kura m6 Hadi 2 hapo mnapanda au kushuka?
expand...
Mbowe huyu katili muongo dikteta tapeli la kisiasa ni wa kumhurumia sana maana ameshasomwa mbinuu zake zoote woote wamemsaliti akae tu alee wajukuu miaka 61 unahangaika kwwenye hamna counter attack atakayofanyiwa na CCM atamkumbuka JPM kwamba bora nilipata mbunge mmoja na madiwani viti maalumu 19 CHADEMA imemalizika hivyo na kama hawaamini wasuburie watakachofanyiwa na CCM YA wajuaji tayari katibu mwenezi ameshawqruka ukiona hvy ujue ni sauti kutoka juu
 
Nigrastratatract

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
863
1,000
Jiulize chama kina mbunge mmoja afu inapewa slots 19 za viti maalum? Yaani chama kina kura za ubunge 2 Million afu kina mbunge mmoja? Hata huoni aibu kwamba kuna wizi obvious.

Chama kilichokufa hakiwezi hata kupewa kura million 2 na NEC!! Kiuhalisia hta hizo hizo kura million 2 zinge amount to majimbo si chini ya 50! Get serious
expand...
Mbowe huyu katili muongo dikteta tapeli la kisiasa ni wa kumhurumia sana maana ameshasomwa mbinuu zake zoote woote wamemsaliti akae tu alee wajukuu miaka 61 unahangaika kwwenye hamna counter attack atakayofanyiwa na CCM atamkumbuka JPM kwamba bora nilipata mbunge mmoja na madiwani viti maalumu 19 CHADEMA imemalizika hivyo na kama hawaamini wasuburie watakachofanyiwa na CCM YA wajuaji tayari katibu mwenezi ameshawqruka ukiona hvy ujue ni sauti kutoka juu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom