SHINIKIZO LA CHADEMA KUKUTANA NA RAIS LINATIA MASHAKA.
Na Elius Ndabila
0768239284
Baada ya Mhe Rais kula kiapo Cha kuliongoza Taifa hili, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia kwa...
Nimemsikia Rais wetu mama Samia akitueleza vijana kuwa mkeka wa wakuu wa wilaya uko mbioni kutolewa na ameeleza wazi dhamira yake ya kuwaamini vijana.
Nikiwa kama mwenyeji wa wilaya ya Hai kijiji...
Pole kwa majukumu yanayokukabili kila leo kuanzia usalama wa nchi, mahusiano na mataifa makubwa, pamoja maendeleo ya kijamii kiuchumi na kisiasa. Wakati mwingi sana hakuna ambaye hawezi ona juhudi...
Kuna habari zinasambaa kuwa viongozi wawili wameachiwa na wapo huru.
Habari zaidi zinasema mmoja wa viongozi hao ameoneka kwenye picha akiwa na Familia, mwenye taarifa zaidi plz.
TAARIFA KAMILI...
Tupo katika harakati za kutegemea umeme unaozalishwa na maji na gesi bado tena tunapokea mikopo ya umeme wa jua hii ina maana gani?
Nimefikiria sana sawa ni vyema kuwa na kutumia nishati aina...
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
Moja kwa moja kwenye mada. Mheshimiwa Rais wetu mpendwa mama yetu mama Samia Suluhu Hasani amjipambanua na kweli ukimuangali usoni unaona...
Binafsi nilijiandaa sana kuja kuongea na Mh. Rais nimweleze changamoto na masuluhisho kadhaa kwa baadhi ya changamoto tulizo nazo vijana mitaani.
Achana na mawaziri hawajui changamoto zetu sababu...
HIZI NDIZO SABABU KUU MBILI ZINAZO SABABISHA UMASIKINI TANZANIA NA AFRIKA KWA UJUMLA
1: UDHAIFU WA ELIMU YETU
Elimu yetu haijitosherezi wala haiendani na dunia tuliyo nayo leo tofauti na mataifa...
Kama kulipa kodi ni uzalendo, basi rais wa nchi ndiye anayepaswa kuwa mzalendo namba moja.
Kama Tanzania ni nchi ya Usawa, basi haiyumkiniki wawepo watu katika nchi hii wawe ni wavuja jasho...
Uchunguzi wa muda mfupi, tuseme uchunguzi binafsi umeonyesha wale viongozi wanaopita bila ya ridhaa za wananchi au wameshinda uchaguzi kwa njia za udanganyifu uliotokana na wao au tume ya...
Waziri wa Mambo ya Ndani, Simbachawene akiongea mbele ya Rais Samia amesema pamoja na uamuzi mzuri wa kushusha kiwango cha faini kwa Bodaboda haina maana kwa vijana kwa vijana watumie nafasi hiyo...
Mwaka jana mwishoni mfanyabiashara na mbunifu wa mavazi Jeffery Mmbungu maarufu kama @Speshoz alifungua kiwanda cha vinywaji vikali, wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro. Kiwanda hicho kinaitwa Daren...
"Kesho J3,asubuhi, nitaungana na Familia ya CHADEMA katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya kusikiliza hukumu ya kesi inayomkabili Mdude Nyagali, Mdude amepitia miaka 5 ya mateso na uonevu usio...
Kuuwa Chadema si tu kwamba imeshindikana, Bali haitawezekana milele, kama kuna mtu alilipwa hela ili auwe Chadema basi bila shaka anapaswa kuzirejesha kwa wenyewe, au kama hayupo basi familia yake...
Ng'we mpya ya Uongozi ndio hiyo imeanza ikiongozwa na Raisi John Pombe Magufuli bila chama chochote kikuu cha upinzani.
Hakuna vikwazo, hakuna tena pinga pinga yeyote tunachosubiri kwa sasa ni...
Vijana Kwenye Mikutano ya kisiasa ujitokeza kwa wingi kwenye kupiga kura kuchagua viongozi hawajitokezi kwa wingi.
Vijana wengi wanakimbilia kufanya kazi laini laini kama umachinga badala ya...
Kama kuna mambo yanachukiza basi ni huu unafiki wa kiwango cha SGR. Moderator naomba msifute.
Hivi karibuni huyu kijana ameonekana "akijaribu" kwa kiwango kikubwa sana kujitenganisha na Utawala...
VIJANA TUKISHINDWA KUFANIKIWA KATIKA KIPINDI HIKI CHA MATENDO YA MAONO HAYA YA MH RAIS MAMA SAMIA, BASI TENA.
Na: Philipo Mwakibinga.
Leo nimepata bahati ya kuudhuria Kongamano la Mh Rais wa JMT...
Mpo poah humu
Waliaanza na mitano tena, wakaja aongoze milele, sasa mambo yamewachachia na hawana tumaini wamejikuta katika vijikundi kama vya team tembo na team chuii. Sasa wanajiita...
Baada ya kuahidi kushughulikia changamoto za soko la Kariakoo, Mhe. Rais S.S. Hassan amewaambia wananchi "na nyinyi wakati serikali inawabeba, wanasema abebwae hujikaza, na nyinyi jitahidini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.