Utandawazi wa Siasa: Alianza Tundu Lissu, akafuata Trump, sasa Bobi Wine kupinga matokeo bila ushahidi

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
16,279
2,000
Ndugu zangu,

Ni kama siasa za dunia sasa zinafanana na aina ya wanasiasa iwe kutoka Afrika, Amerika au Ulaya wote wanafanana tabia.

Mwisho wa mwezi wa kumi mwaka 2020 ndugu Tundu Lissu aliitisha wanahabari na kuwaambia hatambui matokeo ya Urais,wiki moja baadaye Donald Trump naye kama Tundu bila vielelezo alilalamika kuibiwa kura katika uchaguzi wa marekani na saaa mwezi huu wa Januari,14 2021 Bobi Wine wa Uganda bila kielelezo analalamika kuibiwa kura.

Mjadala: Je, siasa za dunia zimeingia zama mpya za Utandawazi?
 
paul sylvester

JF-Expert Member
Mar 18, 2020
3,468
2,000
Tatizo wapinzani wa chaguzi hizi za karibuni, ni watu ambao wanatabia zinazofanana, wanafanya siasa za kuonewa huruma na wananchi

Mwingine Kwa sababu alionewa na wasiojulikana, basi ahurumiwe Ili awe Raisi Kwa watu ambao si wote walishiriki Uonevu huo, na tukienda Kwa namna hiyo, kuna watu wangapi ambao wamewahi kuonewa ktk hii Dunia?

Mwingine, Kwa sababu ya usanii wake

Mwingine Kwa sababu ya u milioner wake huko USA

Sasa huo ni upuuzi!!
 
Karne

JF-Expert Member
Jun 13, 2016
4,812
2,000
Kwa Africa,aliyeshindwa akikubali matokeo ni habari ya kusisimua.

Ghana pamoja na kusemwa kuwa nchi inayofanya vyema kwenye free and fair elections, Mahama kayakataa matokeo.

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
16,279
2,000
Duh
Kwa Africa,aliyeshindwa akikubali matokeo ni habari ya kusisimua.

Ghana pamoja na kusemwa kuwa nchi inayofanya vyema kwenye free and fair elections,Mahama kayakataa matokeo.

Stan Mashamba

JF-Expert Member
Apr 22, 2020
2,018
2,000
Ndugu zangu,

Ni kama siasa za dunia sasa zinafanana na aina ya wanasiasa iwe kutoka Afrika, Amerika au Ulaya wote wanafanana tabia....
You can't compare America with Africa. African thieves are a blessed devil; whereas, American thieves are a cursed devil. Trump refuses to accept the truth in the open, while TL and BW refuses votes looting and robbery in oblique. You guys are guilty; that's why you are comparing the incomparable.
 
Bungua

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
821
1,000

Nani atakuelewa! Wakudakuda. Hapa dada vuliwa. Kwa Trump sawa. Mahakama mahakama iwasikilize TAL na BW, hakuna Jiwe wala M7 ikulu. Mahakama zipo hata Afrika. Muulize Kenyatta na Mutharika. Vile wewe dadavuliwa, hujionei huruma kwa mabandiko yako ya kipumbavu kila mara?
 
Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
16,279
2,000
Kamanda sasa mbona Trump anapinga?
You can't compare America with Africa. African thieves are a blessed devil; whereas, American thieves are a cursed devil. Trump refuses to accept the truth in the open, while TL and BW refuses votes looting and robbery in oblique. You guys are guilty; that's why you are comparing the incomparable.
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
29,285
2,000
909775.jpg
 
Maqal

New Member
Jan 15, 2021
3
45
Nani atakuelewa! Wakudakuda. Hapa dada vuliwa. Kwa Trump sawa. Mahakama mahakama iwasikilize TAL na BW, hakuna Jiwe wala M7 ikulu. Mahakama zipo hata Afrika. Muulize Kenyatta na Mutharika. Vile wewe dadavuliwa, hujionei huruma kwa mabandiko yako ya kipumbavu kila mara?
No, free and fair election huanza tangu wakati wa kampeni.

Hata uwe professional kiasi gn, huwez sema siasa za afrika ni sawa na mataifa kama marekani na ulaya.

Mataifa hayo yana mahakama huru, hupigwi mtu, polisi hawatumiki na vyama vya siasa na mengine mengi miongoni mwa hayo.

Haya, vuka mipaka sasa uje afrikA, utasikia BW kakamatwa na polisi, mara kazuiliwa kufanya kampeni nk.

Wapinzani wa Afrika wana kila sababu ya kupinga matokea kwa sababu matukio ya batili yanaonekana.
 
Maqal

New Member
Jan 15, 2021
3
45
Kamanda sasa mbona Trump anapinga?
Kupinga Trump haijakuwa hoja ya msjngi.

Tuangalie wananchi wanasema vipi, mchakato wa uchaguzi umeenda vipi, dola ilifanya nn, tume ya uchaguzi wakishiriki vipi.
Ukiangalia yote haya utaona hakuna chombo kilichotumika kwa maslahi ya Biden, na wananchi wenyewe ndo wamemchagua.

Trump anapinga ukweli usiohitaji tochi. Na ndio maana ht mahakama imeshindwa kufuatilia kesi yake.

He has no concrete evidence.
 
UmkhontoweSizwe

JF-Expert Member
Dec 19, 2008
4,398
2,000
You can't compare America with Africa. African thieves are a blessed devil; whereas, American thieves are a cursed devil. Trump refuses to accept the truth in the open, while TL and BW refuses votes looting and robbery in oblique. You guys are guilty; that's why you are comparing the incomparable.
Really?! That's your personal analysis and opinions. Go talk to Donald Trump and tell him that he was defeated mchana kweupe, and let's see if he will clap at you, pat your back and give you a hug for telling him the truth!

Bottom line: they are all the same thugs who can't accept the truth of reality.
 
Bungua

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
821
1,000
Really?! That's your personal analysis and opinions. Go talk to Donald Trump and tell him that he was defeated mchana kweupe, and let's see if he will clap at you, pat your back and give you a hug for telling him the truth!
Bottom line: they are all the same thugs who can't accept the truth of reality.
Of course that's his personal analysis and opinion. Why shouldn't it be his. And the rubbish you're propagating, certainly, is yours. Let him be him and let you be you. You're a foolish thug roaming around calling gents thugs for no apparent reason. You do the rigging and the calling of people names to cover up your folly. Pathetic!
 
dndagula

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
353
500
Wapinzan
Kwa Africa,aliyeshindwa akikubali matokeo ni habari ya kusisimua.

Ghana pamoja na kusemwa kuwa nchi inayofanya vyema kwenye free and fair elections,Mahama kayakataa matokeo.

I wapinzani hukataa matokeo ya uchaguzi kuficha aibu ya kushindwa hakuna kingine.
 
Ezekiel Mbaga

Verified Member
May 28, 2018
7,221
2,000
Kupinga Trump haijakuwa hoja ya msjngi.

Tuangalie wananchi wanasema vipi, mchakato wa uchaguzi umeenda vipi, dola ilifanya nn, tume ya uchaguzi wakishiriki vipi.
Ukiangalia yote haya utaona hakuna chombo kilichotumika kwa maslahi ya Biden, na wananchi wenyewe ndo wamemchagua.

Trump anapinga ukweli usiohitaji tochi. Na ndio maana ht mahakama imeshindwa kufuatilia kesi yake.

He has no concrete evidence.
Hapa Tz kuna wananchi gani walisema Lissu ameshinda?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom