Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/kilio-watanzania-64-waliofanyiwa-majaribio-dawa-ya-ukimwi-1--3436484
1 Reactions
5 Replies
988 Views
Mbunge Munde Tambwe amemuomba Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba kuhakikisha Fedha zinazokusanywa na Serikali zinaelekezwa kwenye Maendeleo badala ya kulipana posho. Akizungumza katika...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanabodi baada ya kutafakari kwa kina uongozi wa awamu ya tano baada ya kuwaongezea Kinga ya kuto kushitakiwa Viongozi mbali mbali hapa nchini husani Rais, Spika wa Bunge Mkurugenzi wa Mashitaka...
2 Reactions
12 Replies
937 Views
Wakuu wameanza tena, Wanasema mama mpaka 2030 na atakayempinga atakiona. Najaribu kuwaza hawa watu tunaposema "Kila amtegemeae mwanadamu amelaaniwa" hawaelewi? Awamu ya Tano walianza hivihivi...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Nianze kwa kukusalimu kwa salamu nzuri inayohamasisha ufanyaji kazi katika hali na juhudi kubwa "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania". Siandiki bandiko hili nikitarajia ujira wowote katika kuandika...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Nina wasi wasi mkubwa suala hili la uteuzi wa viongozi likiachwa likaendelea kama linavyoonekana litaipeleka nchi hii pabaya sana. Kwa mfano, kuteuliwa kwa maDAS kwa namna walivyoteuliwa ni...
5 Reactions
43 Replies
6K Views
Mapendekezo ya bajeti ya 2021/2022 ni kwamba moja ya vyanzo vya fedha iwe ni kodi ya laini za simu. Kila laini ya simu kwa mujibu wa mapendekezo yaliyosomwa na waziri wa fedha itakatwa kati ya...
24 Reactions
79 Replies
7K Views
Miaka ya 90 katika uongozi wa awamu ya tatu rais Benjamin Mkapa, na Fredrick Sumaye walimfanyia hujuma ya kumwaga ngano na unga aliokuwa ameingiza nchini kutoka Jamaica kigezo kuwa haukidhi...
6 Reactions
21 Replies
5K Views
Msigwa anaeleza jinsi ofisi ya Speaker ilivyotumika kuwashawishi Wabunge wa Upinzani hujiunga na CCM.
46 Reactions
157 Replies
15K Views
Miongoni mwa mambo yanayotakiwa kutupiwa jicho ni ubaguzi uliopo kwenye utoaji wa ajira kwa kada mbali mbali ikiwemo ualimu Serikali ya awamu ya tano chini ya utawala wa hayati Magufuli imekuwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Leo huko Misungwi kulikuwa na tukio la kitaifa mbashara karibu vyombo vyote. Inasikitisha sana mnatumia muda mwingi kumpamba Rais katika hotuba zenu. Kazi tunajua mnafanya vizuri lakini mnaboa...
9 Reactions
9 Replies
2K Views
Eneo lilikosahaulika hapa nchini ni usafirishaji. Hali ni duni kwa Watanzania wengi tumeendelea kuamini kumiliki daladala ili kupata kipato jambo ambalo sio bali kuwatesa wanyonge. Eneo la...
0 Reactions
0 Replies
555 Views
Ndugu zangu, mnakumbuka hadithi za MAZIMWI WALA WATU na kelele za AGANO JIPYA? Hadithi hii nilihadithiwa na Baba. Katika hadithi hiyo alisikika mtu mmoja akisema Enyi mateka wenzangu kwenye nchi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ukinunua gari Zanzibar utalipa Kodi na ukifika Tanganyika utalipa tena kubwa tu, na sio gari tu fridge, TV, Simu n.k Ni hivi ni rahisi kuingiza vitu Zanzibar kutoka nje hasa falme za Kiarabu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
By Toby McIntosh - June 14, 2021 The World Bank was slow to respond when Tanzania proposed, in 2018, to set criminal penalties for critics of official statistics, according to documents provided...
2 Reactions
0 Replies
866 Views
Kwa maelezo ya waziri wa fedha kwenye hotuba yake ya bajeti ongezeko la kodi la Sh 10 tu hadi elfu 10 tu kwa wanatuma mamillion ya pesa kupitia mitandao ya simu itatupatia Sh 1.2 trillion kwa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Chama ambacho kipo nchini na kinafanya siasa kila siku zaidi ya miaka ishirini kinaanza kuweka mawe na kuzindua mashina kina hali gani sasa! Kinampango wa kukamata dola? Kwa staili hii watakamata...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
MAMBO 6 ATAKAYOYAFANYA MHE RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWENYE ZIARA YAKE YA SIKU 3 MKOANI MWANZA. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Mhe Samia Suluhu Hassan anaanza rasmi...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Bodaboda hawastahili huruma wataumiza zaidi watu. Angalia kipande hiki kidogo cha picha, kisha jiulize ni sahihi wapunguziwe adhabu kama alivyodai Mbunge Msukuma wa Geita kwamba faini yao kwa kosa...
0 Reactions
2 Replies
874 Views
Ni habari mbaya ambayo imetokea muda si mrefu. Aliyekuwa Mhadhiri wa Vyuo Vikuu mbalimbali nchini, Prof. Mwesiga Baregu amefariki dunia mapema leo. Prof. Baregu alikuwa pia Mjumbe wa Kamati kuu...
36 Reactions
197 Replies
26K Views
Back
Top Bottom