Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kila siku nimekuwa nikijaribu kutafakari hali iliyotokea Tanzania au Malawi au Zambia au DRC au Rwanda au Burundi au Msumbiji ya viongozi wakuu wa nchi kufa wakiwa madarakani. Kwa nchi hizo nilizo...
2 Reactions
77 Replies
7K Views
Watu wameanza kupatawa na mashaka ya kuja wimbi la tatu la COVID 19. Kwa sabubu kamati ya Rais kuhusu CORONA ilikwisha pendekeza chanjo ziletwe na kila anayetaka achanjwe kwa hiari yake ni vyema...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Tanzania inatarajia kuanza kupokea shehena ya kwanza ya chanjo ya korona mwanzoni mwa mwezi Disemba mwaka huu iwapo mipango itakwenda kama ilivyopangwa. Taarifa ambazo Moonlight imezipata kutoka...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Naangalia kipindi cha ajenda 2020 kila swali analoulizwa na mtozi alois hawezi kujibu azidi ya mabavu kiukweli mteuzi wa hawa binadam yupo au aliwateuwa akaondoka ? Hebu wenye kumjua amwange data...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Nimemsikia leo Kigaila anajibu hoja ya chama chake kununua gar na kisha kusajiliwa kwa jina la Mwanachama. Hoja hii ilitolewa na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ktk ripoti...
5 Reactions
62 Replies
6K Views
Kamati ya Amani ya viongozi wa dini nchini imepiga marufuku, John Pombe Magufuli kuitwa "mwendazake". Mwenyekiti mwenza wa kamati hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la maaskofu wa Makanisa ya...
47 Reactions
219 Replies
21K Views
Rais Samia mara baada ya kuapishwa alisema, tuanze upya. Sentensi ile ilibeba maana nzito iliyofichika kwa wasiotaka kutafakari. Unaanza upya pale ambapo unaamini ulikosea, na ili uanze upya ni...
18 Reactions
47 Replies
4K Views
Nikiwa nafuatilia jinsi hawa wateule wanafanya kazi nahisi wako kama watumwa. Kuna mda naona kabisa sisi ambao tuko kitaa tuna furaha na amani kuliko wao. Kuna haja ya wateuzi kuwaambia wawe huru...
7 Reactions
23 Replies
3K Views
Mabibi na mabwana ITV wanaonekana live bungeni na mijadala ya bajeti inaendelea. Mambo sasa mwendo mdundo! Kulikoni? Itakuwa yale mambo yetu ya bunge live yamerejeshwa kimya kimya au ni kwa...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Harbinder Seth akikabidhi mamilioni kwa jeshi la polisi. Kama Ngeleja alikabidhiwa na pacha wa Harbinder lkn ameamua kuyarejesha, kwanini jeshi la polisi haliigi mfano huo?
5 Reactions
36 Replies
4K Views
Habari wadau..! Tanzania bado tnaishi zama za 3K's yaani Kusoma Kuandika na Kuhesabu wakati dunia ishapita huko hata Tanzania tushapita huko.Ila hii katiba yetu bado ipo zama za 3K 's . Nchi...
9 Reactions
60 Replies
5K Views
Vijana waliofaidika na kutamba vilivyo na mfumo kandamizi wa mwendazake ni pamoja na:- Makonda, Sabaya, Heri James, Mrisho Gambo, Ali Hapi na Mnyeti Ilikuwa huwaambii kitu hawa. Walifanya na...
47 Reactions
91 Replies
8K Views
Habari wadau, CCM inasema Katiba mpya sio kipao mbele chao kwa awamu hii, lakini nikiangalia najiuliza kwanini wanaiogopa katiba mpya wakati ni mustakali wa taifa letu? Tumwombe Rais Mama yetu...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Yapo mengine unashindwa kuyaeleza hivyo unaiachia video ndio iongee, karibuni sana... Kama sifa zinalevya, basi Mh Rais Samia Suluhu Hassan kaa chonjo na watu kama hawa! Juzi kwa mwendazake leo...
5 Reactions
45 Replies
4K Views
Dalili hizi zimeanza kuonekana baada ya Shehe Mkuu wa BAKWATA Mufti Zuberi kuzitaka mamlaka kuharakishwa kusikilizwa kwa shauri lao. Ni dhahiri shahiri serikali haiwezi kupuuza ombi lake na hivyo...
2 Reactions
51 Replies
5K Views
Watanzania kunufaika na Biashara Mtandao kufikia 2025. "Lengo letu kufikia 2025 zaidi ya asilimia 80 ya Watanzania tuwafikie kwa mawasiliano ya Internet na hadi 2025 tuwe tumeweka mazingira...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama ilivyo hapo juu, wale Mashehe wa Uamsho walikamatwa Enzi za Rais Kikwete, lawama zikaja kwenye Serikali ya Mwendazake, saa hizi zimeelekezwa kwa Mama wakati mhusika mkuu yupo. Sijawahi...
11 Reactions
130 Replies
11K Views
Huenda uwepo wa wanachama waliofukuzwa chadema almaarufu covid-19 ni mojawapo wa sababu za Rais Samia Suluhu Hassan, kuchelewa kutimiza ahadi yake ya kukutana na chadema. Kwa utambulisho wa...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kumtambulisha Nusrat Hanje kama kiongozi wa Bavicha, na kwamba ule ndio uwakilishi wa vijana wa Chadema kwenye Mkutano wa Rais na Vijana huko Nyamagana Mwanza...
28 Reactions
127 Replies
11K Views
Kamarada (Comrade) wangu mkubwa wa Simba SC na ' Misebene ' ya Wenge Musica BCBG RC wa Dar es Salaam Ndugu Amos Makalla jiangalie sana kwani unaweza ' Kufyekwa ' muda wowote. RC wa Dar Amos...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Back
Top Bottom