Video: Ama Mwenyekiti wa CCM Mkoani Mara ni mnafiki

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
12,050
2,000
Yapo mengine unashindwa kuyaeleza hivyo unaiachia video ndio iongee, karibuni sana...

Kama sifa zinalevya, basi Mh Rais Samia Suluhu Hassan kaa chonjo na watu kama hawa!

Juzi kwa mwendazake leo kwako...waepuke wanafiki hawa, kaa mbali nao na waogope kama ukoma!

1.

2.

3.

4.

5.

6.

7.
 
Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
12,050
2,000
Na kwa mwendazake, ilikuwaje? Shuhudia mwenyewe...

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
85,535
2,000
Yapo mengine unashindwa kuyaeleza hivyo unaiachia video ndio iongee, karibuni sana...
Kama sifa zinalevya, basi Mh Rais Samia Suluhu Hassan kaa chonjo na watu kama hawa!
Juzi kwa mwendazake leo kwako...waepuke wanafiki hawa, kaa mbali nao na waogope kama ukoma!

1.
View attachment 1819875

2.
View attachment 1819876

3.
View attachment 1819877

4.
View attachment 1819879

5.
View attachment 1819880

6.
View attachment 1819881

7.
View attachment 1819882
Hivi huwa wanaokotwa wapi hawa ?
 
Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
12,050
2,000
Unamwita ^boya,^ but mwenzio anachagulika miaka nenda rudi -- his confidence is unmistakable and undaunted.
Of course, ndani ya CCM, he is a great asset. Ataendelea kuchaguliwa hadi anaingia kaburini na hiyo ndiyo bahati yetu Watanzania...they don't last for ever but Tanzania lives on!
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
89,781
2,000
Niliiona juzi hii video. Nikataka kuanzisha uzi. Nikaghairi maana sikuona jipya!

Ila pia, hao wanaosifiwa nao wako complicit kwenye huo upumbavu.

Mtu utakaaje hapo jukwaani unasifiwa kinafiki nafiki namna hiyo na wewe unakaa kimya tu?

Mwisho wa siku naamini mhusika mkuu anaweza akapiga stop huo upumbavu kama akitaka.

Ni suala la kutamka tu hadharani kuwa hataki hizo sifa za kinafiki tu, basi. Habari yote kwisha.
 
Jasmoni Tegga

JF-Expert Member
Oct 28, 2020
4,817
2,000
Of course, ndani ya CCM, he is a great asset. Ataendlea kuchaguliwa hadi anaingia kaburini na hiyo ndiyo bahati yetu Watanzania...they don't last for ever but Tanzania lives on!

Watanzania walikaririshwa na Mzungu akawakaghilimisha ubongo (brainwash) kwamba ukiwa unaflow lugha, na kimalkia kinapanda kumkichwa, basi wewe ni bonge la mtabe. But Mzee wa Msoga na JPM wamewaprove wrong.
 
Jasmoni Tegga

JF-Expert Member
Oct 28, 2020
4,817
2,000
Niliiona juzi hii video. Nikataka kuanzisha uzi. Nikaghairi maana sikuona jipya!

Ila pia, hao wanaosifiwa nao wako complicit kwenye huo upumbavu.

Mtu utakaaje hapo jukwaani unasifiwa kinafiki nafiki namna hiyo na wewe unakaa kimya tu?

Mwisho wa siku naamini mhusika mkuu anaweza akapiga stop huo upumbavu kama akitaka.

Ni suala la kutamka tu hadharani kuwa hataki hizo sifa za kinafiki tu, basi. Habari yote kwisha.

Wenzio wana nyuzi (degree) ^tar-two^ za political science, but wewe umeishia kukariri Principles za Maxwell labda na zile laws za Thermodynamics. Bure na nusu!!!
 
Jackson Turary

Senior Member
Jan 1, 2014
106
225
Yapo mengine unashindwa kuyaeleza hivyo unaiachia video ndio iongee, karibuni sana...
Kama sifa zinalevya, basi Mh Rais Samia Suluhu Hassan kaa chonjo na watu kama hawa!
Juzi kwa mwendazake leo kwako...waepuke wanafiki hawa, kaa mbali nao na waogope kama ukoma!

1.
View attachment 1819875

2.
View attachment 1819876

3.
View attachment 1819877

4.
View attachment 1819879

5.
View attachment 1819880

6.
View attachment 1819881

7.
View attachment 1819882
Mi naona walompa uwenyekiti ndo hamnazo!
 
Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
12,050
2,000
Watanzania walikaririshwa na Mzungu akawakaghilimisha ubongo (brainwash) kwamba ukiwa unaflow lugha, na kimalkia kinapanda kumkichwa, basi wewe ni bonge la mtabe. But Mzee wa Msoga na JPM wamewaprove wrong.
Wengine tulikaririshwa na baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (RIP) kwamba kama Kiswahili kilivyo lugha ya Watanzania, hivyo hivyo Kiingereza kimetokea kuwa lugha ya dunia...wewe kaa na ujinga wako!
 
Fundi Mchundo

JF-Expert Member
Nov 9, 2007
6,550
2,000
Watanzania walikaririshwa na Mzungu akawakaghilimisha ubongo (brainwash) kwamba ukiwa unaflow lugha, na kimalkia kinapanda kumkichwa, basi wewe ni bonge la mtabe. But Mzee wa Msoga na JPM wamewaprove wrong.
Umewahi kumsikia Kikwete akiongea kiingereza lakini? Au kwa vile kwao ni Bagamoyo ndio maana unadhani hakipandi? Anakimudu sana.

Amandla...
 
Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
12,050
2,000
Umewahi kumsikia Kikwete akiongea kiingereza lakini? Au kwa vile kwao ni Bagamoyo ndio maana unadhani hakipandi? Anakimudu sana.

Amandla...
Hao ndio viwavi vilivyovamia JF baada ya milango kuachwa wazi siku hizi hadi layabouts wanatamba humu kwa makoti ya kuazima. Mtu hata hajui kuwa Kiingereza pia ni lugha ya taifa letu halafu bila aibu anamweka Kikwete grupu moja na mwendazake, really?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom