Mkuu wa wilaya ya Hai kumbe debe tupu aibu

MAPITO Mwanza

JF-Expert Member
Aug 21, 2018
3,683
5,003
Naangalia kipindi cha ajenda 2020 kila swali analoulizwa na mtozi alois hawezi kujibu azidi ya mabavu kiukweli mteuzi wa hawa binadam yupo au aliwateuwa akaondoka ? Hebu wenye kumjua amwange data tumjue mtu huyu
 
CV kubwa ili upate teuzi ni uwezo wako binafsi wa kupambana Na upinzani hata kama nk debe tupu.Wengi ni makada waliokotwa majalalani wapiga kelele mapraise team kusifu na kuabudu,utatu wa uharibifu.Mkurya wa dar teuzi kama fadhila Kwa kumtusi mbowe,
 
Hao nje ya ubabe hawana uwezo wa kujibu au kutetea Hoja yeyeto,wanachoweza ni kutembea na waandishi wa habari na kusweka ndani watu ," kamata huyu weka ndani" copy and paste ili kumfurahusha anaewalipa Kwa expenses za kudhalilisha wengine.
 
Ai

bu sana itachukua Karine kazaa tanzania hii mhutu mwingine kuiongoza
 
Huyu dogo na kiduku chake kanikera sana jana anaongea km risas zinatoka kwenye bunduki ubabe mwingi, hakuna hoja yoyote alioongea ya maana Shame
 
DC wa awamu hii ambae unaweza kumuheshimu na kumuita MH. DC ni Anthony Mtaka tu, wengine wote ni KONDOO, ndio mzeee, baadae wanaukuwa CHUI , kurarua ili wamfurahishe bwana wao..akili kisoda za kuenda msalani tu.
 
Antony Mtaka si ndio huyo wanawake wa chadema wamepigwa mabomu ya machozi wakiwa mkutanoni huko mkoani kwake.?

BTW Mtaka ni RC sio DC.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom