Katika muendelezo wa Rais Samia kukutana na kuongea na Makundi mbalimbali nchini, leo ataongea na Vijana wa Tanzania kupitia vijana wa mkoa wa Mwanza katika Uwanja wa Michezo wa Nyamagana...
Nimeipokea na kuileta hapa wakuu, Imfikie Mufti Mkuu wa Bakwata.
Katika Msikiti wa Kisumu, Mtaa wa Mtambani, Magomeni Mikumi, Dar es Salaam kuna Mgogoro mkubwa unafukuta mwaka sasa na ajabu...
Hivi Mchezaji aliyeko Uwanjani tena katika Mechi ngumu na anajitahidi akiona Kocha Mkuu kamuamsha Mchezaji wa namba anayocheza Yeye anaimarika Kiuchezaji au Kisaikolojia ndiyo anaathirika na...
Wanasiasa wanajaribu kutumia nguvu kuaminisha wananchi kwamba uchumi wa Tanzania unakua na maisha ya watu yanaimarika. Ila wanasahau kwamba namba hazipo upande wao na takwimu hazidanganyi.
Wao...
Kwa nia njema kabisa bila kuingiza itifaki za kichama ningependa kufahamu kama ni sawa kwa wageni wa kitaifa kupokelewa katika makazi binafsi tofauti na makazi rasmi ya kiongozi wa nchi (Ikulu)?
"Ikulu ni mahali patakatifu"
Ni moja ya kauli aliyopata kunena Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere aliyekaa ikulu kwa takriban miaka 23 akimaanisha kuwa ikulu ni mahala pa Watanzania wote...
Habari wakuu,
Kuna baadhi ya watu maarufu na wasiokuwa maarufu kwa muda mrefu sasa wamekuwa wakionyesha chuki za wazi dhidi ya awamu ya tano pamoja na viongozi wake. Mbaya zaidi walifika hatua ya...
Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki, Anne Kilango Malecela, ametaka suala la kulipa kodi kwenye majengo kuangaliwa vizuri akisema, "Mkaliangalie vizuri huko mtaani. Tusidanganyane, kuna...
Nimeona mijadala mtandaoni kuhusu mchango wangu juu ya ufugaji wa Kipepeo. Naomba kutoa maelezo kidogo ili kila mmoja afahamu kuhusu nililosema Bungeni.
Ufugaji wa vipepeo ulikuwa Biashara nzuri...
Kwanza niwasalimu kwa jina la muungano wa Tanzania.
Bila kupoteza wakati niende moja kwa moja kwenye mada, Rais wetu mama samia Kama unavyojua mwaka mmoja baada ya hayati JPM kuingia madarakani...
Kwako Mheshimiwa Rais Samia Suluhu
Salam!
Mimi ni Mtanzania mwenye umri wa miaka 40 ambaye nimesoma nchini Tanzania kuanzia shule ya Msingi, Sekondari na pia Chuo Kikuu. Elimu yangu kubwa...
Ndugu wana JamiiForums,
Tunashukuru kwa maoni yenu na mijadala inayoendelea hapa kila siku kuhusu masuala ya Katiba na Sheria za nchi yetu. Aidha kuhusu haki za binadamu, rushwa, utawala wa...
VIONGOZI WAWILI WA CWT KUFIKISHWA MAHAKAMANI KWA MAKOSA YA UCHEPUSHAJI NA MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA.
Ndugu WanaHabari,
Kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...
Serikali ya Saudi Arabia imefuta ibada ya hija kwa mwaka 2021 kutokana na ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona.
Hii ni mara ya pili kwa waumini wa dini ya Kiislamu kutotekeleza...
Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP), Sylvester Mwakitalu amemuondolea hati ya kuzuia dhamana aliyekuwa mkurugenzi mtendaji wa kampuni hodhi ya rasilimali za reli Tanzania (Rahco)...
Wanabodi.
Kwa mujibu wa Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa Chadema ‘inayohesabiwa’ kuwa na wabunge 20 imepata Sh109.68 milioni, ACT Wazalendo yenye wanne kimepata Sh14 milioni na CUF yenye...
Hizi ni siasa za kinafiki tena zisizofaa kabisa. Maana mbunge kama muwakilishi wa wananchi alafu unakaa kimya ukishuhudia wananchi wako wakiteswa na kug'olewa meno.
Baadae unaibuka kinafiki baada...
Huo ndio ukweli mishahara ya au mshahara wa mbunge na mapochopocho wanayokwapua au kulipwa ni mishahara hatarishi kwa Taifa letu ambalo linajikongoja.
Ajira ya ubunge sasa imekuwa ni ya kufa na...
Kama CHADEMA wameweza ku-survive bila ruzuku mpaka leo hii, na zaidi wameweza kubuni utratibu mpya wa kuwaingizia mapato kupitia michango ya wanachama,basi CCM kama chama kikongwe kinapaswa kuona...
IKULU YATOA TAARIFA KUHUSU MZEE ALI HASSAN MWINYI
Idara ya Habari na Mawasiliano Ikulu inatoa taarifa ya kukanusha habari zisizokuwa rasmi zinazosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusu Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.