Ikulu, Zanzibar: Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi ni mzima wa afya

mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
4,649
2,000
IKULU YATOA TAARIFA KUHUSU MZEE ALI HASSAN MWINYI

Idara ya Habari na Mawasiliano Ikulu inatoa taarifa ya kukanusha habari zisizokuwa rasmi zinazosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusu Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi.

Mzee Mwinyi yupo salama, mwenye afya na anaendelea na majukumu yake ya kila siku.

photo_2021-06-10_09-34-28.jpg
 

Kajiarashid

Member
Jun 2, 2021
66
125
Naweza kusema kwa jina la Mola wa JMT, ni vyema umakini wa Hayati Magufuli Raisat Samia AUANGALIE TENA. Mitandao imekithiri uongo, udanganyifu na umbea. Hii so sawa Mama Yeti. Tinakupenda, lakini u'u. Vyombo vyazidi kutukirihisha.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom