CHADEMA mnachukua ruzuku ya nini wakati Wabunge 19 mmewafukuza?

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,933
32,341
Wanabodi.

Kwa mujibu wa Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa Chadema ‘inayohesabiwa’ kuwa na wabunge 20 imepata Sh109.68 milioni, ACT Wazalendo yenye wanne kimepata Sh14 milioni na CUF yenye mbunge mmoja ikipata Sh5.7 milioni za Ruzuku ambayo iliingizwa kwenye account za vyama Nov. 2020.

Mbowe, hili suala mbona kwenye hotuba yako haukulisema umekaa kimya nawashheshimu sana Chadema kwa misimamo yao wameenda mbali zaidi na kususia chaguzi zote mpaka kuwepo na Tume Huru.

Hii ruzuku mnayochukua kutokana na wakina Halima Mdee ni ya nini, wananchi wapenda haki wanataka kufahamu hili jambo.
 
Una uhakika wameenda kwa msajili kuichikua hiyo cheki au msajili kawapelekea???? Tulete uthibitisho ya kusaini hayo makabidhiano. Sidhani kama wamechukua hiyo cheki.
 
Wanabodi.

Kwa mujibu wa Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa Chadema ‘inayohesabiwa’ kuwa na wabunge 20 imepata Sh109.68 milioni, ACT Wazalendo yenye wanne kimepata Sh14 milioni na CUF yenye mbunge mmoja ikipata Sh5.7 milioni za Ruzuku ambayo iliingizwa kwenye account za vyama Nov. 2020.

Mbowe, hili suala mbona kwenye hotuba yako haukulisema umekaa kimya nawashheshimu sana Chadema kwa misimamo yao wameenda mbali zaidi na kususia chaguzi zote mpaka kuwepo na Tume Huru.

Hii ruzuku mnayochukua kutokana na wakina Halima Mdee ni ya nini, wananchi wapenda haki wanataka kufahamu hili jambo.
Chadema huogozwa kwa uongo tu
 
Unavijua vigezo vya kupewa ruzuku au unabwatuka tu?
 
Chadema haijachukua riziki hata ya senti moja. Acha uzushi.

Naona umefufuka baada ya miaka sita
 
Back
Top Bottom