Uchaguzi 2020 Kishindo: Sheikh Ponda atoa neno kwenye mkutano wa Lissu Dodoma, Uwanja walipuka kwa shangwe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
77,499
2,000
Kadri muda unavyozidi kwenda ndivyo Wanaomuunga Mkono Tundu Lissu wanavyojitokeza na kuzidi kuongezeka.

Mwangalie Sheikh Ponda Issa Ponda alivyotikisa Dodoma leo.

Video hii hapa

====

SHEIKH PONDA: WAISLAMU TUMEKUBALIANA TUTAMPIGIA KURA LISSU

Sheikh Ponda Issa Ponda amesema Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu kushinda kura za urais katika Uchaguzi Mkuu 2020 sio tatizo

Amesema waislamu wote wamekubaliana kumchagua Lissu. Hivyo atashinda tatizo linaweza kuja kwenye suala la kutangazwa

Pia Sheikh Ponda amesema Mungu atashindwa kusikia maombi na sala za watanzania kama hawatamchagua Tundu Lissu kuwa Rais

#JFLeo #JamiiForums #Uchaguzi2020 #TZ2020

Subpost 2 - Nimepata heshima kubwa ya kushiriki mkutano wa leo na Sheikh Ponda I ( 426 X 640 ).jpg
Subpost 3 - Nimepata heshima kubwa ya kushiriki mkutano wa leo na Sheikh Ponda I ( 426 X 640 ).jpg
Mmeeleweka DODOMA.   Tumewaelewa WAPIGANAJI.   Kazi imebaki moja tu, kupiga kura ( 426 X 640 ).jpg


 

denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
2,297
2,000
Na safari hii wakijaribu kuiba kura watakoma, Lissu hataki ujinga, wafadhili/mabeberu nao hawataki ujinga, na wanaomuunga mkono Lissu wote nao hawataki ujinga, CCM itabidi wajue wataibaje hizo kura kwa akili vinginevyo kazi wanayo.
 

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
10,740
2,000
wataiba tena bila presha yoyote how to evade ghost voters and ghost polling stations
Na safari hii wakijaribu kuiba kura watakoma, Lissu hataki ujinga, wafadhili/mabeberu nao hawataki ujinga na wanaomuunga mkono wote nao hawataki ujinga, CCM itabidi wajue wataibaje hizo kura kwa akili vinginevyo kazi wanayo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom