figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,890
Salaam Wakuu,
Tanzania tumepitia Vipindi Tofauti. Rais wetu Mstaafu Ali Hassan Mwinyi ujana wake alikuwa wapi? Rais wa awamu ya Pili baada ya Nyerere.
Kupigania Uhuru hasemwi, Sherehe za kuchanganya Udongo hatokei hata kwenye picha. Vita ya Kagera ndo kabisa haonekani hata akihamasisha watu wampige Idd Amin Dada.
Amekuja kuibukia Zanzibar. Leo ni mstaafu ambaye anadai kazaliwa Tanganyika. Kitabu chake hajatuambia kama aliwapokea wapambanani wakina Mayunga, Mamba na Cobra.
Je, alikuwa Masomoni?