CCM kweli tumebadilika na kuwa chama kinachojali!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,313
24,171
Wenzetu wa CHADEMA wamepotelewa na kiongozi wao ndg Mwesigwa Baregu, mtu aliye wasilisha issues za kisiasa kwa nguvu ya hoja.

CCM imewakilisha kwenye msiba huo na ndg Shaka, Katibu Mwenezi na Ushirikishwaji wa CCM. Awali Mwenyekiti wa CCM alitoa salaam za rambirambi kutokana na msiba huu wa ndugu Baregu.

Nawapongeza Chama changu cha CCM kwa kutambua kuwa hata wapinzani ni Watanzania.

Kitendo hiki nitaongeza umoja wa kitaifa.
 
Hapa mama SSH anajenga umoja na undugu wa watanzania kwa vitendo.

Taifa liliongozwa na mshamba na limbukeni kwa miaka mitano ndiye aliyewafanya watanzania waanze kuchukiana

Rot in Hell Mwendazake.
 
IMG-20210618-WA0206.jpg
IMG-20210618-WA0207.jpg
IMG-20210618-WA0205.jpg
 
Back
Top Bottom