Bunge bila Kambi Rasmi ya Upinzani uhalali wake ni upi?

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,881
Wadau Pamoja na kutokuwa na Elimu ya Mambo ya SHERIA Najiuliza kama KATIBA iliyopo inatamka kuwa BUNGE lazima liwe na KAMBI Rasmi ya UPINZANI je kwa kutokuwa na KAMBI RASMI Uhalali wa BUNGE ni Upi?

Tumeshuhudia BUNGE lisilo na MAWAZIRI Vivuli
Tumeshuhudia BUNGE lisilo na BAJETI
za MAWAZIRI Vivuli
Tumeshuhudia BUNGE lisilo na KIINGOZI wa KAMBI Rasmi ya UPINZANI
Tumeshuhudia BUNGE lisilo na HOTUBA ya BAJETI ya KAMBI Rasmi ya UPINZANI je Uhalali wa BUNGE ni Upi?
Mwisho
Tumeshuhudia BUNGE lenye WABUNGE Wasio na CHAMA
 
.
JamiiForums594713748.jpg
 
Bunge la Samuel Sitta na Anna Makinda ikifika saa mbili kila mahali hata bar watu walikuwa hawakosi kuangalia taarifa za habari
Wakati huu wa Ndugai ni michezo kuanzia saa kumi na mbili alfajiri hadi saa nne usiku hakuna mtu ana habari na bunge tena
 
Wakuletwa watupu,kutoka miti ileile, pori lilelile lililochoka, waongee nini wasichopagiwa?
1624107345539.png
 
Back
Top Bottom