Mkeka wa wakuu wa wilaya umetoka walioteuliwa wameonekana ambapo wengi ni watangazaji, wasanii, waigizaji na wengi ni vijana kweli.
Swali la msingi sio kuteuliwa bali ni je wamefanyiwa vetting...
Ndugu zangu,
Kama kuna jambo ambalo ni kero na kinyongo kwa CHADEMA ni kitendo cha Mama Lishe na Wamachinga kuwapuuza.
Tamaa ya pesa baada uchaguzi wa mwaka 2015 iliwapa kichaa, wakawekeza kwa...
UVCCM wanajua kabisa kua katiba mpya hasa mchakato ulioanzishwa na tume ya Jaji Warioba na ile Pendekezwa hautambui kabisa nafasi za Wakuu wa Wilaya na Mikoa kwa sababu ni Makada wa Chama tawala...
Baada ya Utumishi wake kukoma kutokana na Mkeka mpya uliotolewa wa Wakuu wapya wa Wilaya, Mh Kasesera amewashukuru wananchi wa Iringa kwa ushirikiano waliompa kwa kipindi chote alichowatumikia...
Sheikh Mselem: Usalama wa Nchi ni jambo linalopewa kipaumbele na sisi tunapenda usalama, furaha ikizidi inaweza ikazalisha kitu halafu mara nyingi kutokana na uzoefu kuna vitu watu wa kati...
Ndiyo!
Ni Jokate Mwegelo, DC Kisarawe. Muasisi na Mastermind wa kampeni ya Tokomeza Zero, mengi mazuri yamefanyika chini ya usimamizi na uongozi wake.
Sio kama Wana-Kisarawe hawastahili kiongozi...
Tangu Tanganyika ilipoungana na Zanzibar mwaka 1964 tumekuwa tunatawaliwa na Watanganyika na kupangiwa nani awe Rais wa Zanzibar kwa kupitia vikao vya CCM Dodoma, hata huyo Mzee Mwinyi hakuwa...
Prof. Kitila Mkumbo kwa Mwaka 2025 nina uhakika hana lake Jimbo la Ubungo.
Mwaka 2020 aliingizwa kibabe na hangeshinda. Dr. Dorothy Gwajima - Mnyiramba wa Tarafa ya Shelui naye anaonesha kunogewa...
Dodoma. Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene amesema Jiji la Dar es Salaam ni uchochoro wa silaha zilizozagaa nchini.
Amesema kuna kata moja katika Jiji hilo la...
Wadau
Mwanachama au kiongozi wa CCM atakayekataa Maamuzi ya Kikao halali cha Chama atakuwa ametenda kosa la utovu wa nidhamu na ataadhibiwa kwa mujibu wa Kanuni hizi.
Mwanachama atakayekataa...
Mwamba Freeman Mbowe , Mtemi Isike , ambaye pia ameteuliwa kuwa Kiongozi wa Wamasai na Wazee wa Arusha au MTU CHUMA kama anavyoitwa na Vijana wa kisasa , tayari amewasili mkoani Kagera kushiriki...
“Hatujaweka kodi kwenye laini za simu kama ambavyo baadhi ya wananchi wamekuwa wakichanganya, hata kule Bungeni wanachanganya wanasema sasa kila siku itakuwa inakatwa shilingi 10 mpaka 200 kwa...
Hii ni orodha ya Wakuu wa Wilaya walioaminiwa na Hayati Magufuli na kupewa wadhifa huo lakini kwa kipindi chote cha Utumishi wao wameonekana kupwaya kwa sababu mbali mbali zikiwemo Ubabe...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI
TAARIFA FUPI KUHUSU TAARIFA ZINAZOZUNGUKA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII (SOCIAL MEDIA) JUU YA KUSHUKA KWA BEI YA MAYAI NCHINI
15 JUNI 2021...
Mhe. Rais tunahitaji Katiba Mpya kwasababu wanaume wametumia misuli sana kupitia KATIBA iliyopo. Ikiwa siyo kipaumbele chako tunaomba:
2021-2025 wengi wawe KE ngazi za maamuzi.
2025-2030 andaa...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Ndugu Othman Masoud Othman, amewaahidi viongozi pamoja na wanachama wa chama kuwa ataendelea kuitumikia nchi pamoja na chama...
Mheshimiwa Rais Dr John Pombe Magufuli wakati wa kipindi cha kampeni ulitoa ahadi ya kumpatia kazi kijana wetu mpendwa Joshua Nassari.
Muda unakwenda kasi sana tangu kampeni zimalizike na wewe...
Dar es Salaam. Baadhi ya wahariri wanaounda Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) wamehoji mpango wa Serikali kuendelea kugharamia miradi waliyodai haina tija kwa kuongeza kodi na tozo kwenye bajeti...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako amewataka Wadau wa Elimu Wasiwe Waoga kutoa maoni Juu ya Sheria na Kanuni zinazounda Sheria ya Bodi ya Kitaaluma ya Walimu Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.