Tunaendelea na nyuzi zetu za mwezi huu wa 3, ambao ni Mwezi wa Mungu.
Kwenye utawala wa Awamu ya 5, ulioongozwa na Dkt. John Magufuli, Karibu viongozi wote wa Chadema wa ngazi zote walitekwa...
Mkuu wa Mkoa wa Pwani (RC), Mheshiwa Abubakar Kunenge amesema ushirikishwaji wananchi kwenye miradi ya maendeleo unaofanywa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ni...
Miongoni mwa waliohudhuria Misa Takatifu ya kumbukizi ya miaka mitano ya kifo cha Rais wa Awamu ya Tano, John Pombe Magufuli, ni Wilfred Mwango, aliyewahi kuwa mlinzi wake binafsi.
KUMBUKIZI |...
MAGUFULI HAKUWA MNAFIKI
(KUMBE MNASHANGILIANA KWA KUPANGA. HATA MIMI NILIJUA HII NI PROJECT).
Nimeona alichoandika Godbless Lema leo.
Niseme tu, nami niliifuatilia siku ya kuzikwa Pengo...
Habari wakuu,
Jana ilikua siku ya 365 tangu ilipotimia November tano mwaka Jana na nchi yetu kubadilisha utawala wake kwa njia ya kura zilizopigwa mwezi October.
November tano akaapishwa Daktari...
WAJALUO WAMETANGULIA CHATO?!
Kesho 17/3/2025 inatimia miaka 5 ya kumlilia hayati Rais JPM. Kimsingi, siyo “maadhimisho” ya miaka 5 bila. Hatuna cha kuadhimisha; tuna cha kulilia. Hata ambao...
Kila akitajwa Majaliwa umati wa wananchi unainuka na kumshangilia kwa nguvu sana.
Hii inamjibu Mwigulu aliyesema yeye hajali kupigiwa makofi wala kupendwa kwani keshapendwa na mkewe.
Nadhani...
Vita ni ya Israeli, Israeli ndiyo aliyeanzisha vita against Iran, Israeli ndiyo aliowaua ayatola wa irani, mke wake, watoto mpaka wajukuu na cream yote ya jeshi, Israeli ndiyo anayepeleka moto...
Kama Leo ingekuwa ni 2015 na Dkt.Ncimbi angekuwa ni Katibu Mkuu wa CCM naamini angepambana vya kutosha kumpambania Lowassa ndani ya CCM lakini Kwa Sasa ana mtazamo tofauti kabisa, mtazamo alionao...
Fuatilia mbashara hapa
RAIS Samia Suluhu Hassan leo ataongoza waombolezaji kumzika Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano, John Magufuli.
Jeneza lililobeba mwili wa Hayati Dkt. Magufuli likiwa...
Taarifa hii imetolewa na Msemaji wa Serikali ya Tanzania Gerson Msigwa , alipokuwa anaongea na Waandishi wa Habari
Bali ambacho Msigwa hakusema ni hiki , Ni sh ngapi ziliporwa kwenye maduka...
Sasa ni dhahiri kwamba Wimbi la watu kudhulumiwa mali zao wakati wa Utawala wa John Magufuli liko bayana na ni kubwa kuliko tulivyodhani.
Watu wameporwa karibu kila kitu, wako walioporwa hela zao...
Bado twaendelea na nyuzi za mwezi 3 ambao ni Mwezi wa Mungu
Kama tulivyoandika awali kuhusu lundo la watu kukamatwa na kupewa kesi nzito za Uhujumu uchumi , Baadaye watu hao wakapewa option ya...
SEKTA YA MAWASILIANO TANZANIA (Q4 2025)
jumla ya usajili wa simu za mkononi ulifikia milioni 106.9 kufikia Desemba uku ongezeko la matumizi ya simu janja (smartphone) lilipanda hadi...
Katika mwendelezo wa nyuzi zetu kwenye mwezi huu wa 3 , ambao unaitwa Mwezi wa Mungu , Hatimaye tumemfikia Ndugu Humphrey Polepole , Mjumbe wa kamati ya kuratibu Maoni ya Wananchi ya Mchakato wa...
Bado tungali tunaendelea na nyuzi za mwezi wa Mungu .
Dkt Bashiru Ally Kakurwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa ccm na wateule waliojiona wako karibu na Mamlaka ya Uteuzi , walijipa utukufu ambao hakuna...
Ikiwa tumeingia mwezi wa 3 , ambao kwa mahesabu ya Tanzania na wanazuoni ni mwezi wa Mungu ( wenye akili wameelewa ) , tutajitahidi kuanzia leo na kuelekea mwisho kuwaletea makala za kusikitisha...
Tunaendelea na nyuzi zetu za mwezi wa 3, ambao ni mwezi wa Mungu.
Ni wazi kila mwananchi anafahamu kuhusu kampeni za wazi kabisa za kutaka Rais wa awamu ya 5 Dkt John Magufuli aongezewe muda wa...