Humphrey Polepole ni miongoni mwa Viongozi wa awamu ya 5 walioua Demokrasia ndani na Nje ya CCM

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
120,335
225,440
Katika mwendelezo wa nyuzi zetu kwenye mwezi huu wa 3 , ambao unaitwa Mwezi wa Mungu , Hatimaye tumemfikia Ndugu Humphrey Polepole , Mjumbe wa kamati ya kuratibu Maoni ya Wananchi ya Mchakato wa katiba mpya au katiba ya Warioba , DC wa zamani wa Ubungo , Katibu wa uenezi na Itikadi wa ccm , ambaye sasa ametunukiwa ubalozi .

Huyu ni miongoni mwa vinara wa kuua Demokrasia Nchini Tanzania , ametajwa waziwazi kuhusika na kununua Madiwani na Wabunge wa Upinzani kwa kutumwa na Bosi wake , katika ule uchafu ulioitwa kuunga mkono Juhudi , Pole pole anatajwa kutumia vikosi vya Usalama wa Nchi kutisha wale waliokuwa wanakaidi kuunga mkono Juhudi zao hizo ( wako walioshughulikiwa )

Screenshot_2024-03-14-17-01-21-1.png

Ni wazi kwamba Bwana Humphrey alitumwa lakini hiyo haiwezi kumuondoa kwenye orodha ya wauaji wa Demokrasia ya Nchi , kwa niaba ya serikali huyu akiwa mtendaji wa Chama cha siasa aliingia makubaliano ya hela na vyeo na Wahamaji , yaani unanunuliwa na unapewa cheo , mifano ni mingi mno , pichani hapo juu ni Polepole na Julius Kalanga aliyekuwa Mbunge wa Monduli kupitia Chadema , usiku wa manane alipokuwa anatangaza kuunga mkono Juhudi , ambapo inatajwa kwamba bei yake ilikuwa mil 600 tu za madafu ili alipe madeni anayodaiwa Benki .

Ukiacha haya ya kununua wapinzani , Polepole na genge lake likiongozwa na Jiwe waliwazuia Wanachama wa ccm kuchukua fomu za kugombea kwenye majimbo na kata zilizo wazi baada ya waliokuwepo kuunga Juhudi kinyume cha katiba ya chama chao, ili kulinda Makubaliano ya wasaliti waliounga Juhudi kwa kuwafanya wagombea tena kwenye majimbo hayo hayo kwa tiketi ya ccm , hii maana yake ni kwamba wanaccm walinyang'anywa chama chao na genge la watu wachache tena wa kuja wasio na historia yoyote kwenye ccm .

Viongozi wakuu wastaafu wa ccm na wa serikali waliufyata ili kuogopa kutukanwa ama kutekwa , huku wakionywa kwamba muda wao umekwisha .

NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO
 
Kweli iko wapi una kiongozi muda wowote atatembelea mkongojo kwenye kiti hataki kuachia na pia amedhulumu waandishi na bado amekwenda mahakamani alipwe gharama za kesi umeshindwa kumwambia ukweli!
 
Katika mwendelezo wa nyuzi zetu kwenye mwezi huu wa 3 , ambao unaitwa Mwezi wa Mungu , Hatimaye tumemfikia Ndugu Humphrey Polepole , Mjumbe wa kamati ya kuratibu Maoni ya Wananchi ya Mchakato wa katiba mpya au katiba ya Warioba , DC wa zamani wa Ubungo , Katibu wa uenezi na Itikadi wa ccm , ambaye sasa ametunukiwa ubalozi .
Mshenzi kabisa kigeugeu hafai hata kukumbukwa kwa lolote msaliti huyo
 
si kweli,
bali kwe umakini na umahiri wa kiwango cha juu sana, cha ujengaji wake wa hoja, sera na mikakati, aliweza kuimpact idealogy ya modern socialism miongoni mwa mindsets za generations zilizokuako ndani na nje ya CCM na kuwin pakubwa sana 🐒

alithibiti mapena sana, idealogy nyingine zote mathalani, za kiliberali ambazo hazikufua dafu enzi zake, na ndio kukaibuka idealogy za mihemko, malalamiko, ghadhabu na unyumbu miongoni mwa maliberali na wengineo 🐒
 
Huo ushahidi mwanana uliowekewa hapo ndio ideology yenu ya kisasa ya Jiwe ? halafu kwa jiwe kulikuwa na ideology ya mtu , labda kama hukuwemo Tanzania
 
Katika mwendelezo wa nyuzi zetu kwenye mwezi huu wa 3 , ambao unaitwa Mwezi wa Mungu , Hatimaye tumemfikia Ndugu Humphrey Polepole , Mjumbe wa kamati ya kuratibu Maoni ya Wananchi ya Mchakato wa katiba mpya au katiba ya Warioba , DC wa zamani wa Ubungo , Katibu wa uenezi na Itikadi wa ccm , ambaye sasa ametunukiwa ubalozi .

Huyu ni miongoni mwa vinara wa kuua Demokrasia Nchini Tanzania , ametajwa waziwazi kuhusika na kununua Madiwani na Wabunge wa Upinzani kwa kutumwa na Bosi wake , katika ule uchafu ulioitwa kuunga mkono Juhudi , Pole pole anatajwa kutumia vikosi vya Usalama wa Nchi kutisha wale waliokuwa wanakaidi kuunga mkono Juhudi zao hizo ( wako walioshughulikiwa )

View attachment 2934435

Ni wazi kwamba Bwana Humphrey alitumwa lakini hiyo haiwezi kumuondoa kwenye orodha ya wauaji wa Demokrasia ya Nchi , kwa niaba ya serikali huyu akiwa mtendaji wa Chama cha siasa aliingia makubaliano ya hela na vyeo na Wahamaji , yaani unanunuliwa na unapewa cheo , mifano ni mingi mno , pichani hapo juu ni Polepole na Julius Kalanga aliyekuwa Mbunge wa Monduli kupitia Chadema , usiku wa manane alipokuwa anatangaza kuunga mkono Juhudi , ambapo inatajwa kwamba bei yake ilikuwa mil 600 tu za madafu ili alipe madeni anayodaiwa Benki .

Ukiacha haya ya kununua wapinzani , Polepole na genge lake likiongozwa na Jiwe waliwazuia Wanachama wa ccm kuchukua fomu za kugombea kwenye majimbo na kata zilizo wazi baada ya waliokuwepo kuunga Juhudi kinyume cha katiba ya chama chao, ili kulinda Makubaliano ya wasaliti waliounga Juhudi kwa kuwafanya wagombea tena kwenye majimbo hayo hayo kwa tiketi ya ccm , hii maana yake ni kwamba wanaccm walinyang'anywa chama chao na genge la watu wachache tena wa kuja wasio na historia yoyote kwenye ccm .

Viongozi wakuu wastaafu wa ccm na wa serikali waliufyata ili kuogopa kutukanwa ama kutekwa , huku wakionywa kwamba muda wao umekwisha .

NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO
Polepole na bwana huyu wa TBC ni mfano mzuri sana kuwa pesa ni haramu, pesa iliwafanya waasi kile walichokitetea kwa nguvu zote, DEMOKRASIA! Polepole akawa na maneno ya kikatiri sana tofauti na yule wa tume ya Warioba! Wote hawa wawili Magufuli alifanya kusudi kuwateua ili kututhibitishia kuwa pesa ni haramu.
 
Tumekuuliza yale manunuzi ndio Ideology , tena tumeweka kielelezo kabambe lakini wewe unaitaja Chadema !
mko wangap mloniuliza 🐒

uliza masuala ya kisera, falsafa na pengine kisheria.... masuala ya takwimu hayaulizwi na hayajibiwi kindezi ndezi kwa kubuni buni data...

that is un professional, none sense but also those are useless questions politically speaking 🐒
 
Back
Top Bottom