LHRC inatarajia kutoa taarifa ya hali ya haki za binadamu nchini kama sehemu ya kazi zake za kila siku.
Ili kufanikisha ubora wa taarifa hii tunaomba maoni yako ya dhati kuhusiana na mtazamo wako...
Wakuu,
Nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa Jeshi la Polisi kwenye mitandao yao ya kijamii. Naomba kujikita katika post yao ya jana tarehe 2 Machi 2026 ikimhusu Faustine Mafwele kama kiongozi (Mkuu...
Namna ya kutatua kero za wananchi. Kutoa maagizo na hata kushughulikia watendaji wa serikali?
Waziri mkuu ndie msimamizi mkuu wa shughuli za serikali.
Marehemu Sokoine alikuwa msimamizi mkuu wa...
Nini maoni yako?
Mpoto ameyasema hayo katika hafla ya uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa matanki ya kupokea mafuta katika Bandari ya Dar es Salaam, tarehe 03 Machi, 2026.
𝗕𝗔𝗟𝗢𝗭𝗜 𝗠𝗔𝗧𝗜𝗡𝗬𝗜 𝗔𝗞𝗨𝗧𝗔𝗡𝗔 𝗡𝗔 𝗠𝗙𝗔𝗟𝗠𝗘 𝗪𝗔 𝗦𝗪𝗘𝗗𝗘𝗡
Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mheshimiwa Mobhare Matinyi, akisalimiana na Mfalme Carl XVI Gustaf wa Sweden, kwenye Kasri la Mfalme jijini Stockholm...
Sababu za kijana HECHE amekuwa mfano wa kiongozi bora vijana kumpita Mwigulu.
Kwasababu haonekani fake kama jamaa yetu Mwigulu ambaye ameweka dharau kwa watanzania wa kawaida, fake uzalendo kwa...
Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, inatarajiwa kutoa kuhusu hoja ya Mheshimiwa Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kuomba kujumuishwa kama mshitakiwa katika kesi inayoendelea...
Ni kweli wamejibu lakini vipiJe, hatua za dola zilikuwa za lazima na zenye uwiano kwa mujibu wa sheria za kimataifa?
Lakini pia mjadala huu unaonyesha mvutano ulinzi wa haki za kiraia, huku...
Nimefuatilia kura nyingi za Umoja wa mataifa, kwa asilimia kama 80 ya kura zote, Tanzania huwa ni "abstention" tu, yaani hawapingi wala hawakubali; wapo wapo tu! Hata kura ya busara ya kuunga...
ACT Wazalendo mnauhakika huu mnara utadumu, maana lolote linaweza kutokea so mjiandae!
===============
“Machozi ya mama anayesubiri kurejeshewa mwili wa mwanae ni kilio kisicho na sauti, lakini...
CCM imebaki na vijana machawa na wakatili wengine wanaogopwa.
Vijana wengine wakina Makamba, Bashe, Biteko , Polepole na wengine wanaonekana tishio maana sio machawa wala wakatili.
Makonda ni...
CCM haiwezi kukubaliwa na watanzania kwa kuzuia vyama wengine!. Yaani kuzuia Chadema kufanya mikutano yao haina maana hao watu na wanachama wao kesho watashangilia au kuhamia CCM.
Huwezi...
GT
Ukifuatilia contents za Joseph yona wa Chalinze akiwatuhumu watu mbalimbali bila ushahidi wowote na media zinarusha kama kawaida.
Je haya mashambulizi yanayorushwa na hizo media JAB...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Jumuiya za Ukanda wa Maziwa Makuu na Nchi...
"Jeshi la Polisi halina mamlaka ya kutoa tafsiri ya kimahakama au kujichukulia hatua zozote bila kupewa maelekezo na mahakama. Wanawake nchi nzima tumejiandaa tunampango wa kusafiri kwenda Musoma...
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari Tanzania ( Jounalist Accreditation Board) imempa muda wa masaa 24 Mwandishi wa habari Mwandamizi Paschal Mayala kuthibitisha kauli yake aliyoitoa kwenye...
HABARI PICHA:
Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Faustine Mafwele amewataka Polisi Kata kuendeleza ushirikiano...
Kwa muda mrefu, mwandishi wa Clouds Media, Farhan Kihamu alikuwa amejikita kwenye masuala ya michezo.
Sakata la Iran na huko Mashariki ya Kati lilipokuwa linanukia na hatimaye lilipoanza, ghafla...
Dalili kuu ya mtu mwehu au kichaa ni kuwa mwepesi kuamini.
Sisi wahubiri wa Injili tunalijua hili.
Ukiita wanaotaka kumpa Yesu maisha yao waje mbele Matahira walioko Karibu lazima waje.
Kesho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.