Kwenye Utawala wa awamu ya 5 Bashiru Ally na wateule wengine wa Rais walijipa Utukufu kuliko hata Mitume wa Mungu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,247
Bado tungali tunaendelea na nyuzi za mwezi wa Mungu .

Dkt Bashiru Ally Kakurwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa ccm na wateule waliojiona wako karibu na Mamlaka ya Uteuzi , walijipa utukufu ambao hakuna kiongozi yoyote aliyewahi kujipa Tangu Nchi hii ipate uhuru wake .

Screenshot_2024-03-17-13-19-42-1.png

Yaani ilifikia Mkuu wa Wilaya anamvimbia mtu yeyote akiwemo hata Mkuu wa Mkoa wake , kwa vile tu yeye yuko karibu na Rais , haifahamiki kama walikuwa wanatumwa na aliyewateua au la

Kwa Mfano ukiacha Bashiru Ally ambaye kiburi chake na ukosefu wake wa Adabu kwa Wazee akina Makamba na Kinana hakuna aliyeusahau , DC Sabaya , Ally Happy , Alexander Mnyeti pamoja na Paulo Makonda walikuwa Jamhuri huru ndani ya Jamhuri ya Tanzania .

Screenshot_2024-03-17-13-20-27-1.png

Waliopiga U Turn na kurudi kwenye ubinadamu , japo nao walitaka kuingia kwenye Utukufu huo ni Amos Makalla , Chalamila na Mongela , hawa walianza kama wenzao lakini baadaye wakashikwa masikio .

Mara nyingi tumeonya na kufundisha sana hapa jf na kwingineko kuhusu hizi kazi za Kuteuliwa , kwamba hizi kazi ni Dhamana ya muda mfupi sana , ni vema tukazifanya kwa weledi maana hatujui kesho kutwa.

mwangalie Hapa Bashiru Ally baada ya kupigwa chini na kuteuliwa Mbunge wa viti maalum , Picha hii ikupe somo la kazi za kuteuliwa

Screenshot_2024-03-17-12-36-23-1.png

Kiburi na dharau za wateule wa awamu ya 5 hakijawahi kuwepo kwenye nchi hii tangu iumbwe na Mungu , kila mteule mwenye kiburi cha madaraka ajaribu kumchukulia Salmin Amour , kama Mfano , Salmin alifikia kuitwa Komando kwa kejeli , matusi na dharau kwa wakubwa zake na wadogo , lakini mnafahu kilichomkuta leo ? hana ukomando wowote tena , hawezi kufika hata Kisiwandui , Kibanda maiti wala Mchamba wima , Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !

NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO
 
😂😂

Gekuli akahamisha Wabunge wote wa Chadema kwenda CCM

Nassari akaukataa ubunge Chadema Ili awe DC

Katambi akaikimbia Bavicha kuunga Juhudi

Halima James Mdee akafunga Kazi akasepa na Kijiji akiwemo Katibu mkuu wa Bavicha kwenda kwa Gekuli CCM

Kiufupi CCM haina Mpinzani Afrika Mashariki na Kati

Combination ya Dr Bashiru, Polepole na Mzee Mangula haitasahauliwa na Chadema Milele na Milele 😂🔥
 
Mangula alikosa nini hadi mkampa sumu ?
 
Bado tungali tunaendelea na nyuzi za mwezi wa Mungu .

Dkt Bashiru Ally Kakurwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa ccm na wateule waliojiona wako karibu na Mamlaka ya Uteuzi , walijipa utukufu ambao hakuna kiongozi yoyote aliyewahi kujipa Tangu Nchi hii ipate uhuru wake .

View attachment 2937182

Yaani ilifikia Mkuu wa Wilaya anamvimbia mtu yeyote akiwemo hata Mkuu wa Mkoa wake , kwa vile tu yeye yuko karibu na Rais , haifahamiki kama walikuwa wanatumwa na aliyewateua au la

Kwa Mfano ukiacha Bashiru Ally ambaye kiburi chake na ukosefu wake wa Adabu kwa Wazee akina Makamba na Kinana hakuna aliyeusahau , DC Sabaya , Ally Happy , Alexander Mnyeti pamoja na Paulo Makonda walikuwa Jamhuri huru ndani ya Jamhuri ya Tanzania .

View attachment 2937183

Waliopiga U Turn na kurudi kwenye ubinadamu , japo nao walitaka kuingia kwenye Utukufu huo ni Amos Makalla , Chalamila na Mongela , hawa walianza kama wenzao lakini baadaye wakashikwa masikio .

Mara nyingi tumeonya na kufundisha sana hapa jf na kwingineko kuhusu hizi kazi za Kuteuliwa , kwamba hizi kazi ni Dhamana ya muda mfupi sana , ni vema tukazifanya kwa weledi maana hatujui kesho kutwa.

mwangalie Hapa Bashiru Ally baada ya kupigwa chini na kuteuliwa Mbunge wa viti maalum , Picha hii ikupe somo la kazi za kuteuliwa

View attachment 2937187

Kiburi na dharau za wateule wa awamu ya 5 hakijawahi kuwepo kwenye nchi hii tangu iumbwe na Mungu , kila mteule mwenye kiburi cha madaraka ajaribu kumchukulia Salmin Amour , kama Mfano , Salmin alifikia kuitwa Komando kwa kejeli , matusi na dharau kwa wakubwa zake na wadogo , lakini mnafahu kilichomkuta leo ? hana ukomando wowote tena , hawezi kufika hata Kisiwandui , Kibanda maiti wala Mchamba wima , Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !

NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIK

Ulijiuaje kuwa wamejipa utukufu, wakati wao ni CCM na ww ni chadema? Aliyejipa utukufu ni Mbowe, kwa kuwa chama ni cha mkwe wake, Mtei na, sio vinginevyo. Na AME kuwa kiongoz kwa muda mrefu. Na hataki kuwa na kuwapa madaraka wengine. Ukiwa, mbunge unakatwa kwenye mshahara one million kila mwez unakatwa ni ya, chama. Ili mzee, mtei apate kula nn. Mm nafikiri kama ni mkristo soma biblia vizur ili uelewe. Usinyooshee watu mikono kumbe, ww ni mchafu kwelikweli. Mbowe mnamfanya, mtukufu. Mbowe ndio kila kitu CDM pale. Bashiru, alikuwa kiongoz mzuri na, alifanya, Kaz, nzuri
 
Ulianza vizuri sana lakini umemaliza hovyo mno
 
Back
Top Bottom