TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ametoa wito kwa Wizara zinahusiana na Sekta ya Mazingira, kufanya kazi kwa...
NAOMBA KUELEWESHWA KWA UPOLE SOTE TUFAHAMU NAKUELEWA,
Mimi nilidhani ujio wa DP WORLD ndio ambao ungehusika kwenye matengenezo wa hiyo bandari! Iweje leo tusikie GHARAMA ZA BANDARI zinaongezeka...
Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Joseph Butiku, amewataka Watanzania kukubaliana na uhalisia kwamba nchi tayari ina Rais aliye tayari kwa maridhiano.
Butiku...
Kwa kila namna taifa limepasuka. Matajiri na wenye mali ndio wanaofaidi taifa hili. Watoto wa masikini wanauza mahindi ya kuchoma na karanga ili waende shule. Watoto wa matajiri na wanasiasa...
"DP World atafanya kazi maeneo yaleyale aliyopewa kulingana na masharti ambayo tumemuwekea. Lakini bandari zote zitaendeshwa na TPA au mwekezaji mwingine au mwendeshaji mwingine wa ndani au wa nje...
Hili ni swali kwa watu wote , kule Mbeya kumeandaliwa maandamano ya kupinga Mkataba wa aibu wa DP WORLD na Bandari za Tanganyika .
Sasa cha kushangaza ni hiki , Maandamano hayo yanaungwa mkono na...
Watu 38 wakiwemo viongozi, makada na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) waliokuwa wameshikiliwa na Polisi mkoani Mara kwa tuhuma za kusababisha vurugu na taharuki katika mji wa...
Makamu Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Said Issa Mohamed akiongea na Waandishi wa Habari, leo Machi 5 ameeleza kuwa kesi ya mgawanyo wa mali...
Kabla ya uchafuzi WA 2025, migogoro au hisia ya kudhulumiwa Kwa upande moja ulisababisha Chama Fulani kusimamishwa kufanya shughuli za kisiasa nk.
Sasa katika nchi hiyo hiyo ikitokea jimbo moja...
Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA Zanzibar Said Issa Mohammed amemtaka Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche @hechejohn kumheshimu na kutokutoa lugha zisizo sahihi dhidi yake ikiwemo ya...
APRM Tanzania yaandhimisha 'APRM Day' kwa Shughuli za Kijamii Dar es Salaam
Katika kuadhimisha Siku ya APRM (APRM Day), Watumishi wa Taasisi ya Mpango wa Hiyari wa Kujitahimini kwa vigezo vya...
Huyu jamaa tangu apigwe chini uwaziri naona kama dishi limeyumba flani hivi.
Ukicheck Instagram page yake anaandika ujinga..eti juzi kati kaandaa mazishi ya ng'ombe wake aliyekufa na akaalika...
1) Watu wanabishana iwapo Mwigulu ni Magufuli mpya? Wengine wanasema ndio, wengine wanasema bado. Ukichambua kwa haki utaona MWIGULU ni Magufuli mpya kwa sababu hizi: moja, Magufuli alikuwa Rais...
Tokea nchi ipate uhuru mpaka leo miji ya kusini imekaa kizamani sana mfano mji wa songea ndio makao makuu ya mkoa wa Ruvuma lakini mji ulivyo ni aibu kusimama kwa wenzako na kusema makao makuu ya...
Ni muda mrefu sasa Kafulila hajasikika akileta taarifa za PPP kama tulivyomzoea akitoa taarifa na kudadavua mambo mbalimbali ya uchumi.
Kabla ya October 2025 Kafulila alikuwa moto sana na...
"Mimi nimetokea familia maskini", "Mimi nimelala kwenye ngozi ya ng'ombe badala ya godoro".... "Mimi sina biashara yoyote na kiasi nilicho nacho benki hakizidi hata Tsh 20m".... viongozi wenye...
Salaam,
Wananchama na Viongozi wa Chadema wanaowasili katika Mahakama Kuu Masijala ndogo ya Dar es salaam, kufuatia maombi namba 28922/2025 ya Tundu Lissu akiomba kuunganishwa kwenye kesi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.