Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

𝗞𝗢𝗗𝗜 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 Matatizo muhimu ya 𝗺𝘇𝗶𝗴𝗼 𝘄𝗮 𝗸𝗼𝗱𝗶 𝗸𝘄𝗮 𝗸𝗮𝘆𝗮 𝗻𝗰𝗵𝗶𝗻𝗶 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 yanatokana na 𝗸𝘂𝘁𝗲𝗴𝗲𝗺𝗲𝗮 𝘀𝗮𝗻𝗮 𝗸𝗼𝗱𝗶 𝘇𝗶𝘀𝗶𝘇𝗼 𝘇𝗮 𝗺𝗼𝗷𝗮 𝗸𝘄𝗮 𝗺𝗼𝗷𝗮, ambazo zinachangia takribani 𝟱𝟱.𝟵% 𝘆𝗮 𝗺𝗮𝗽𝗮𝘁𝗼 𝘆𝗼𝘁𝗲...
0 Reactions
0 Replies
122 Views
Hii ni kwa sababu Iran haiungwi mkono na hata Nchi za kiarabu Russia hana uwezo tena wa kusaidia Iran kutokana n.a. vita yake n.a. Ukraine, kishakwisha hana msaada wowote Kitendo cha Iran...
12 Reactions
37 Replies
977 Views
Wakuu, JAB mnaingia mpaka chumbani kwa watu mnataka nini? Hamuoni aibu kwa haya mnayofanya? Afadhali kuna mwandishi yuko na ujasiri wa kuongea! Ni zaidi ya fezea kwa waandishi kukaa kimya kuwa...
4 Reactions
10 Replies
412 Views
https://m.youtube.com/watch?v=icD2ie-ywzs Wakili Peter Madeleka anaongea na waandishi kuhusu mgogoro wa mirathi unaohusu mali ya aliyekuwa Mkemia Mkuu wa Serikali, marehemu Ernest Ndati Marasa...
2 Reactions
7 Replies
552 Views
Tanzania inaandika historia mpya ya usalama wa nishati. Chini ya uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kupitia Wizara ya Uchukuzi inatekeleza mradi...
3 Reactions
7 Replies
293 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es salaam kwa ajili ya kusikilizwa kwa hoja za maombi yake...
0 Reactions
0 Replies
311 Views
Mwigulu Madelu Lameck Nchemba kama waziri mkuu ingawa hawakushinda ubunge wala urais, anatakiwa awe makini na anachosema vinginevyo haya mambo yatamharibia na siku moja atajikuta katika hatari...
4 Reactions
2 Replies
206 Views
Wanajamvi na watanzania kwa ujumla salaam nyingi kwenu. Naomba nianze kwa kutumie fursa hii kumpa pole Rais wetu JK kutokana na kufanyiwa matibabu ya tezi dume (prostate) kwa njia ya operesheni...
20 Reactions
126 Replies
15K Views
Hakuna economic measures ambazo zinawekwa kumsaida mtanzania kupata kipato kibachoweza kumsaidia kupata mlo kamili. Mikakati iliyopo ni kusaidia vijana watengeneza maudhui mitandaoni kuwa ndio...
1 Reactions
8 Replies
249 Views
MAWAZIRI EAC WAKUTANA KUKAMILISHA MAANDALIZI YA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI Mkutano Maalumu wa 59 wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umefanyika leo tarehe 5 Machi 2026...
0 Reactions
0 Replies
180 Views
EU statement to UN. Regarding the situations in Afghanistan, Myanmar, the Occupied Palestinian Territory, South Sudan, and Sudan, the EU is concerned with the widespread human right violations in...
17 Reactions
47 Replies
985 Views
Kampuni ya sheria ya kimataifa Amsterdam & Partners LLP, inayoongozwa na Wakili Robert Amsterdam, imewasilisha maombi rasmi kwa Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) kutaka serikali za...
16 Reactions
55 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amempangia kituo cha kazi Balozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Moses Kusiluka, Balozi Mhandisi...
0 Reactions
5 Replies
419 Views
Mahmoud Thabit Kombo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, ametembelea Ubalozi wa Iran nchini Tanzania kutoa salamu za pole kufuatia kifo cha Kiongozi Mkuu wa...
4 Reactions
16 Replies
545 Views
Hamjambo! 1. Ni sawa uoe/kuolewa alafu useme nikijipenda inatosha, au akinipenda Mama inatosha. Mkeo au mumeo asipokupenda tafsiri yake hakuna ndoa hapo. 2. Uongozi unatokana na mapenzi...
6 Reactions
13 Replies
500 Views
Mwaka jana, Serikali ya Tanzania ilitangaza mpango wa kujenga barabara ya Usagara – Mwanza Mjini (KM 25) kwa kiwango cha njia nne (dual carriageway) ili kupunguza msongamano na ajali zinazoendelea...
2 Reactions
5 Replies
256 Views
Mahakama kesho inatarajiwa kuanza kusikiliza hoja za Tundu Lissu kuhusu ombi lake la kuunganishwa katika kesi inayohusu mgawanyo wa mali za chama cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
1 Reactions
0 Replies
206 Views
Hebu tusaidiane uelewa, nini kinapaswa kufanyika itokeavyo hayo? Viongozi ni binadamu kama mimi au wewe na hali hiyo yaweza kumtokea yeyote!
8 Reactions
22 Replies
467 Views
Mama Samia sio yule wa 2021-2022 ndiyo maana haongelei rushwa kabisa.
2 Reactions
10 Replies
201 Views
ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPARENCY (ACT WAZALENDO) ACT Wazalendo Februari 28, 2026 Mhashamu Sana Thaddaeus S. Ruwa'ichi OFMCap Askofu Mkuu, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam S.L.P 167 DAR...
1 Reactions
1 Replies
245 Views
Back
Top Bottom