Kweli wayahudi wanatawala dunia, kila mtu muoga

Kweli wayahudi wanatawala dunia, kila mtu muoga

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,544
Reaction score
18,090
Vita ni ya Israeli, Israeli ndiyo aliyeanzisha vita against Iran, Israeli ndiyo aliowaua ayatola wa irani, mke wake, watoto mpaka wajukuu na cream yote ya jeshi, Israeli ndiyo anayepeleka moto Lebanon, Israeli ndiye anatesa Palestina in Gaza.

hata watoto 170 wanaoripotiwa kuuliwa shuleni husikii israeli akitajwa ila lawama zote kwa D.Trump hausikii israeli ikitajwa wote wanaogopa kulaumu mhusika mkuu wanamlaumu Trump because its easy, wanajua hata neno israel tu kulitamka ujipange haswa wengi hawawezi hata kulitaja bila ya mafumbo mafumbo.

brainwashing ni silaha kubwa sana, wayahudi wamefanikiwa kwenye hilo, muslims na communists wote wanaogopa, ila kwa D. Trump hapo ndipo wamepata kibonde, wanamalizia hasira zao zote hapo, huku wakiendelea kuuliwa na israel with impunity.

Kweli jews rule the world …
 
Hawamuogopi Israel ila USA ndio anahofiwa. Hata Iran inamuogopa US sio Israel otherwise isingekua inalenga Tel Aviv kabisa.

Imagine US asingekuwepo, ina maana hizo air defense za Israel zingekua zimeisha tayari na sahivi makombora yangekua yanatua tu bila interception unadhani Israel inge survive hata wiki moja?

USA is a threat but Israel is not sababu hata Israel inapewa silaha na pesa na USA. In fact Iran ingekua jirani na Israel wangepeleka jeshi la ardhini na ndio ungeona Israel inavyopotea ndani ya siku moja maana ina ukubwa wa mwanza tu so ukiweka nguvu zote za raia 100 Million wa Iran unaimaliza Israel In a week.
 
Israel ni mpango wa MUNGU mwenyewe ni ngumu Sana Kwa binadamu kuiangusha Israel...
Kwa hiyo huyo Mungu ana upendeleo wa kuwapenda waisrael zaidi kuliko waafrika?

Aiseee! Mmepumbazwa mkapumbazika.

Marekani ajitoe kwenye hii vita, halafu wabaki Israel na Iran pekee, wazichape. Tuone kama huyo Mungu wa Israel ana uwezo kweli.

Bila support ya Marekani, Israel 🇮🇱 ni MCHUMBA tu!

Hakuna Mungu wa Israel wala bibi yake Mungu wa Israel.

Huyo Israel anatamba kwa sababu ana usaidizi wa Marekani.

Wala sio sababu za kimungu.
 
Mpango upi mkuu? Mbona huko nyuma ilishatandikwa sana na mataifa kibao ikiwemo hii Persia/Iran ya sasa, Ottoman empire etc.
Kupigwa sio ishu Bali kuifuta hii ni ishu ngumu na haitawezekana kuifuta, kama Iran imeweza kujiandaa Kwa miaka 47 huku ikitumia proxies kama Hezbollah,houthi na hamas na bado ameshindwa
Baada ya hii vita majibu yatakuja tu
 
Kwa hiyo huyo Mungu ana upendeleo wa kuwapenda waisrael zaidi kuliko waafrika?

Aiseee! Mmepumbazwa mkapumbazika.

Marekani ajitoe kwenye hii vita, halafu wabaki Israel na Iran pekee, wazichape. Tuone kama huyo Mungu wa Israel ana uwezo kweli.

Bila support ya Marekani, Israel 🇮🇱 ni MCHUMBA tu!

Hakuna Mungu wa Israel wala bibi yake Mungu wa Israel.

Huyo Israel anatamba kwa sababu ana usaidizi wa Marekani.

Wala sio sababu za kimungu.
Hilo swali jiulize wewe kwanini vita vyote ambavyo Israel anapigana lazima USA awepo?
Jiulize kwanini USA anasaidia Israel kuliko taifa lingine lolote duniani?
 
Vita ni ya Israeli, Israeli ndiyo aliyoanzisha vita against Iran, Israeli ndiyo aliowaua ayatola wa irani, mke wake, watoto mpaka wajukuu na cream yote ya jeshi, Israeli ndiyo anayepeleka moto Lebanon, Israeli ndiye anatesa Palestina in Gaza.
hata watoto 170 wanaoripotiwa kuuliwa shuleni husikii israeli akitajwa ila lawama zote kwa D.Trump hausikii israeli ikitajwa
wote wanaogopa kulaumu mhusika mkuu wanamlaumu Trump because its easy, wanajua hata neno israel tu kulitamka ujipange haswa wengi hawawezi hata kulitaja bila ya mafumbo mafumbo.

brainwashing ni silaha kubwa sana, wayahudi wamefanikiwa kwenye hilo, muslims na communists wote wanaogopa, ila kwa D. Trump hapo ndipo wamepata kibonde, wanamalizia hasira zao zote hapo, huku wakiendelea kuuliwa na israel with impunity.

Kweli jews rule the world …
Hao wayahudi walimuua hadi yesu, kiboko yao ni Hittler pekee
 
Hawa kenge hwanitawali mimi
1773634956830.jpg
 
Hilo swali jiulize wewe kwanini vita vyote ambavyo Israel anapigana lazima USA awepo?
Jiulize kwanini USA anasaidia Israel kuliko taifa lingine lolote duniani?
America yeye anaangalia maslahi tu
Hata Saddam alipoingia Q8 Taifa la kwanza kuandaa mipango ya kuivamia Iraq alikuwa ni US
Kwa hiyo sio Israel tu anaesaidiwa bali yapo mataifa mengi yakiguswa tu wamarekani hao
 
Hawamuogopi Israel ila USA ndio anahofiwa. Hata Iran inamuogopa US sio Israel otherwise isingekua inalenga Tel Aviv kabisa.

Imagine US asingekuwepo, ina maana hizo air defense za Israel zingekua zimeisha tayari na sahivi makombora yangekua yanatua tu bila interception unadhani Israel inge survive hata wiki moja?

USA is a threat but Israel is not sababu hata Israel inapewa silaha na pesa na USA. In fact Iran ingekua jirani na Israel wangepeleka jeshi la ardhini na ndio ungeona Israel inavyopotea ndani ya siku moja maana ina ukubwa wa mwanza tu so ukiweka nguvu zote za raia 100 Million wa Iran unaimaliza Israel In a week.

Kuna mengine uloyoyazungumza ni uwongo.

Silaha zote ambazo Israel inapata toka Marekani, haipewi bure bali inanunua. Lakini utaratibu wa kununua silaha kubwa toka Marekani, ni lazima upeleke ombi kwanza, omni lijadiliwe na Congress kama uuziwe au la.

Israel inanunua silaha toka Marekani, na kuna silaha pia Marekani inanunua toka Israel. Soma hapa chini kidogo, ndiyo itaelewa:

  • Major Contracts: The U.S. approved a $6.6 billion sale in early 2026 for 30 Apache attack helicopters and infantry assault vehicles to Israel.
Umeona hapo? Marekani inaiuzia silaha Israel, siyo kwamba Israel inapewa bure.

India is the largest customer of Israeli military technology, with Israeli defense exports reaching a record $15 billion in 2024, driven by high demand for air defense systems, drones, and radars. Other major buyers and partners for Israeli defense products include European nations (accounting for 54% of exports, notably Germany), the United States, and various Asian countries
 
Israel ambao kieneo chao hata ikitokea wakapewa hakizidi ukubwa wa Mkoa wa Morogoro ndio watu wakiogope?

Israel ambao mpaka Leo hawana nchi yao wanahangaika kuipata ndio watu waiogope?

Israel ambao Hitler' alitaka kuwaangamiza wote au Israel ipi?

Hivi unajua Mungu huwatetea watu wanyonge?
Wajane, Yatima, wagumba na matasa ndio Huwa kinga yao?

Haujui Israel ni taifa dhaifu ndio maana Mungu alilichagua?
 
Hilo swali jiulize wewe kwanini vita vyote ambavyo Israel anapigana lazima USA awepo?
Jiulize kwanini USA anasaidia Israel kuliko taifa lingine lolote duniani?
Kwa sababu marekani anamaslahi makubwa pale mashariki ya kati na ndo lengo la UNO kuundwa Taifa la Israel pale.

Sasa ngoja nikwee mnazi kwa kono Moja maana nimeshakujibu.
 
Back
Top Bottom