Billioni 9 zilizoporwa kwenye Bureau De Change na Utawala wa Awamu ya 5 zarejeshwa kwa Wenyewe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,808
218,460
Taarifa hii imetolewa na Msemaji wa Serikali ya Tanzania Gerson Msigwa , alipokuwa anaongea na Waandishi wa Habari

Bali ambacho Msigwa hakusema ni hiki , Ni sh ngapi ziliporwa kwenye maduka yote ya kubadilishia fedha za kigeni na serikali ile ya kidikteta , ambayo yeye mwenyewe alikuwa sehemu yake , Akishirikiana kwa karibu na Dkt Hassan Abbas .

Lingine ni hili hawa waliorudishiwa hiyo bil 9 ni akina nani , na tunataka kujua kama wamelipwa fidia , na ambao bado hawajarudishiwa hizo hela ni akina nani na ni bei gani zinashikiliwa hadi sasa , na ni kwanini hawarejeshewi , Je zimetaifishwa , kwanini ?

Kingine ambacho tunataka kujua ni kuhusu hatua ambazo walioshiriki uporaji huu wakati ule watachukuliwa , wakiwemo aliyekuwa Waziri wa fedha wa wakati ule na Gavana wa Benki kuu

Screenshot_2023-08-26-15-17-36-1.jpg
 
Hicho kiasi walikipataje? Waliwahi kuzihesabu huko zilikopotelea? au ni lini waliwaita wale waliopoteza pesa zao wakafanya majumuisho?

Hii serikali ya hao jamaa waliopotea njia siiamini kwa chochote inachosema bila kuweka ushahidi mezani, hawa waliochanganyikiwa, wanaojua hawaaminiki tena, ni wepesi kudanganya ili kutafuta cheap popularity toka kwa watanganyika.

Wajue tu, DPW hawatakiwi Tanganyika.
 
Taarifa hii imetolewa na Msemaji wa Serikali ya Tanzania Gerson Msigwa , alipokuwa anaongea na Waandishi wa Habari

Bali ambacho Msigwa hakusema ni hiki , Ni sh ngapi ziliporwa kwenye maduka yote ya kubadilishia fedha za kigeni na serikali ile ya kidikteta , ambayo yeye mwenyewe alikuwa sehemu yake , Akishirikiana kwa karibu na Dkt Hassan Abbas .

Lingine ni hili hawa waliorudishiwa hiyo bil 9 ni akina nani , na tunataka kujua kama wamelipwa fidia , na ambao bado hawajarudishiwa hizo hela ni akina nani na ni bei gani zinashikiliwa hadi sasa , na ni kwanini hawarejeshewi , Je zimetaifishwa , kwanini ?

Kingine ambacho tunataka kujua ni kuhusu hatua ambazo walioshiriki uporaji huu wakati ule watachukuliwa hatua gani , akiwemo aliyekuwa Waziri wa fedha wa wakati ule .

View attachment 2729448
Sasa serekali kwanini nasisiwavuvi ziwa tanganyika mlikwapua malizetu mmezirundika ikola mkoani katavi mbona hamturudishii wavuvi kata ya kalya au mnajali matajiri walalahoi hamtujali mnaunda kitu kibaya sana
 
Taarifa hii imetolewa na Msemaji wa Serikali ya Tanzania Gerson Msigwa , alipokuwa anaongea na Waandishi wa Habari

Bali ambacho Msigwa hakusema ni hiki , Ni sh ngapi ziliporwa kwenye maduka yote ya kubadilishia fedha za kigeni na serikali ile ya kidikteta , ambayo yeye mwenyewe alikuwa sehemu yake , Akishirikiana kwa karibu na Dkt Hassan Abbas .

Lingine ni hili hawa waliorudishiwa hiyo bil 9 ni akina nani , na tunataka kujua kama wamelipwa fidia , na ambao bado hawajarudishiwa hizo hela ni akina nani na ni bei gani zinashikiliwa hadi sasa , na ni kwanini hawarejeshewi , Je zimetaifishwa , kwanini ?

Kingine ambacho tunataka kujua ni kuhusu hatua ambazo walioshiriki uporaji huu wakati ule watachukuliwa hatua gani , akiwemo aliyekuwa Waziri wa fedha wa wakati ule .

View attachment 2729448
Hivi ni lini ume tokea kumuamini Msigwa. Huyu jamaa ana dhami yeye ndie mwenye akili mwenyewe. Umesahau kamba zake kwenye Dp world? Never never trust him
 
Taarifa hii imetolewa na Msemaji wa Serikali ya Tanzania Gerson Msigwa , alipokuwa anaongea na Waandishi wa Habari

Bali ambacho Msigwa hakusema ni hiki , Ni sh ngapi ziliporwa kwenye maduka yote ya kubadilishia fedha za kigeni na serikali ile ya kidikteta , ambayo yeye mwenyewe alikuwa sehemu yake , Akishirikiana kwa karibu na Dkt Hassan Abbas .

Lingine ni hili hawa waliorudishiwa hiyo bil 9 ni akina nani , na tunataka kujua kama wamelipwa fidia , na ambao bado hawajarudishiwa hizo hela ni akina nani na ni bei gani zinashikiliwa hadi sasa , na ni kwanini hawarejeshewi , Je zimetaifishwa , kwanini ?

Kingine ambacho tunataka kujua ni kuhusu hatua ambazo walioshiriki uporaji huu wakati ule watachukuliwa hatua gani , akiwemo aliyekuwa Waziri wa fedha wa wakati ule .

View attachment 2729448
Gerson Msingwa ni Ng'ombe
 
Back
Top Bottom