Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanajua hadi idadi ya vifo vya wanafunzi wa Irani waliouawa jana umbali wa maelfu ya maili, lakini wanajifanya hawajui idadi ya vifo vya watoto waliouwawa Mwanza wakiangalia mpira. Waandishi na...
18 Reactions
19 Replies
409 Views
1. Kamwe Marekani haiwezi kuruhusu nchi yoyote duniani iwe na uwezo wa kuunda silaha ambazo mwisho wa siku zikirushwa zinaweza kufika au kutua ndani ya ardhi ya Marekani na hatimae kuleta madhara...
5 Reactions
43 Replies
796 Views
Ili Bajaji iruhusiwe kupiga u turn na kurudi kkoo huyu askari anachukua 3000 kila bajaji kama rushwa
4 Reactions
23 Replies
565 Views
Waziri Mkuu Mstaafu, Majaliwa Kassim Majaliwa akisalimiana na aliyekuwa mgombea wa Urais wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo mwaka 2025(baadae alienguliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi), Luhaga...
1 Reactions
0 Replies
297 Views
  • Redirect
Mwenyekiti wa Bawacha amewatangazia wanawake wote wa chama hicho kufika Musoma ambako wataungana na wanawake wote duniani kuadhimisha siku ya wanawake.
0 Reactions
Replies
Views
Hata kama ni Sovereignty state. Ayatollah Khamenei na serikali yake ya Islamic Republic of Iran walionywa kwa muda mrefu kama tunavyoonya sisi, he ordered 'shoot to kill' thousands of Iranian...
21 Reactions
42 Replies
815 Views
Kwanza tangu lini kwa uislamuni wakaaga maiti? Pili lini mwanamke wa kiislamu akazungumza kwenye msiba wowote? Hapo nipo utaamini yakuwa KATOLIKI sio dhehebu uchwara limejaa wered mnoooo! Yaani...
3 Reactions
17 Replies
603 Views
WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA SINGAPORE NCHINI WAJADILI UMUHIMU WA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIDIPLOMASIA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit...
1 Reactions
5 Replies
210 Views
Kuzimwa kwa intaneti wakati wa uchaguzi mkuu kuanzia Oktoba 29 hadi Novemba 3, 2025 kumesababisha hasara inayofikia zaidi ya dola milioni 250, sawa na shilingi za Tanzania bilioni 637.8 Hayo...
2 Reactions
7 Replies
459 Views
Wakuu, Nauliza tu Kwanini hawa viongozi wastaafu walivyotambulisshwa shangwe limekuwa kubwa mno Hapo Pinda, Warioba na Majaliwa walivyotambulishwa shangwe lilikuwa kubwa mno lakini...
5 Reactions
13 Replies
446 Views
Wakuu, Akizungumza leo Februari 28, 2025 Jaji Mstaafu na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba alisema katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mmonyoko mkubwa wa maadili lakini Hayati...
3 Reactions
2 Replies
292 Views
Nimekuwa siku zote nikisema SOMENI ndugu zangu. Mtu mwenye elimu kamwe hawezi kuendeshwa na failure. Kanisa katoliki ndio baba wa imani na ni merits kwa nchi ya TZ . Tujivunie…. Dini zote ni...
15 Reactions
36 Replies
546 Views
Nimeona wengi wa wananchi wakipongeza kauli ya Nchimbi kuhusu conflicts za vyama. Na hii ndo kawaida ya wanongo kuingia king kwa Mkono wa kushoto. Binafsi napinga maana kama ni kelele zilipigwa...
3 Reactions
2 Replies
128 Views
Tunapaswa kuandika barua kwa wingi kwenye mamlaka za marekani kuomba delta force waje kukamata hawa wasio julikana watekaji na wauwaji nchini. Ni wazi sasa tunahitaji msaada wa kijeshi wenye...
6 Reactions
24 Replies
414 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) anayemaliza muda wake, Bi. Veronica Nduva, tarehe 28...
2 Reactions
3 Replies
233 Views
Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo.Jana tumempumzisha kwenye makao yake ya milele, katika makaburi ya Pugu, Mpendwa wetu, Mwadhama Polycarp, Cardinali Pengo...
3 Reactions
6 Replies
216 Views
Credit kwa Pascal Mayalla Marekani, US, na washarika wake, EU, kupitia mashirika yao ya kibeberu ikiwemo IMF, WB, US AID, CIA, NATO, etc, ndio nchi zinazoongoza kwa imperialism, wakiamua kiongozi...
27 Reactions
198 Replies
5K Views
Dr nchimbi Leo akiwa kwenye mazishi ya Kardinali pengo alipata fursa hadhimu ya kutoa nenoa fursa ambayo Dr Samia alinyimwa live Jana Moja ya kauli ni kuwa anachukizwa na ugomvi wa VYAMA vya...
4 Reactions
3 Replies
167 Views
Back
Top Bottom