Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni kweli kitendo kilichofanywa na kijana Hamza( R.I.P) sio cha kiungwana na hakifai kuigwa katika jamii Lakini vile vile, afande Sirro amepotoka kwa kauli yake kwamba wazazi wasizae watoto kama...
12 Reactions
253 Replies
22K Views
Wote wanafanana, wale waliosoma nje na wale waliosoma hapahapa nyumbani - wote wana uwezo mdogo sana. Huwa wanakuwa na uwezo mkubwa wanapokuwa twitter, baada ya kugoogle sheria mtandaoni na...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Inaenda miezi miwili sasa kiuhalisia Chama chetu hakina viongozi. Na hatujui hatima ya mali ya chama chetu ambacho ni mali ya watanzania. Mwenyekiti yupo ndani kwa makosa ya ugaidi na uhujumu...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Leo ndio nimepima nimejirizisha kuwa kwa Tanzania kuwa na mageuzi ya kiuchumi ni ndoto Tena ya asubuhi. Kama ndio aina ya wabunge ndio hawa wanaochambua. Mambo Kama vile tuna safari ndefu ndio...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Nimekusoma na kukuelewa vyema leo ulipokuwa singida ,umeonyesha ni namna gani serikali iko pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama hasa jeshi la polisi kwa kuondokewa na askari wake. Pia kauli hii...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Naandika kwa uchungu na kwa hisia thread hii nikiwanyooshea kidole viongozi wa kisiasa kuuwa ndoto na vipaji vya vijana wanao taka kuibuka ktk siasa. Hii sio sawa na haikubaliki moja ya sifa ya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimemsikia jana Mhe Rais Samia Suluhu Hassan akisema kua madini yanatoroshewa chini na wakikamatwa wanakimbilia kuonyesha jiwe kubwa la madini, najiuliza pamoja na security yote hii ni kina nani...
11 Reactions
53 Replies
6K Views
Mapema wiki hii kodi mpya za miamala zimetoka ambapo baadhi ya wananchi tunalalamika zinatunyonya lakin pengine nahisi kuna mchezo tunachezewa. Ukiangalia muda ambao suala limepitishwa ni...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Ndugu zanguni habari za asubuhi. Ni shahiri dhahiri sasa tumeanza kuvuna tulichopanda. Sio mkubwa wala mdogo. Mwenye cheo wala asiye na cheo, tajiri wala maskini sote tumeanza kuonja joto la...
22 Reactions
150 Replies
10K Views
Ni hatari sana kuwapelekesha wabunge wetu, ni hatari kuwafanya wawaze kwa ushawishi wa mwingine. Spika anaposema kuwa wao kama wabunge wamenawa ni ishara ya kutaka kujishusha na kuwa royal kwa...
0 Reactions
3 Replies
534 Views
Msajili wa Vyama vya Siasa amemtaka Katibu Mkuu wa CHADEMA J J Mnyika kujieleza kufuatia kauli yake kuwa katika mahojiano ya BBC Rais Samia alisema uongo. Msajili amesema lugha hiyo dhidi ya...
5 Reactions
87 Replies
9K Views
Taa ya tahadhari umekwisha washwa na Denmark kwa kuondoka nchini. Huu ni uamuzi mgumu sana kwa nchi ambayo imetufadhili tangu uhuru. Miradi mingi sana imejengwa kwa ufadhili wa Denmark. Kumbukeni...
56 Reactions
146 Replies
15K Views
kusema ukweli Askofu Gwajima amekua na tabia ya kuzikana kauli zake anazozungumza, hii inanipa shida sana kuamini kama hiki anachokisimamia leo hatakikana, hebu tufuatilie kidogo hizi clips fupi...
8 Reactions
55 Replies
5K Views
Leo Spika wa bunge, Mh. Job Ndugai amenifanya nikumbuke mhimili wa bunge una nguvu kiasi gani. Baada ya kutoa adhabu kwa Mh. Jerry Slaa na Gwajima, Mh. Ndugai alikwenda mbali zaidi na kuhoji...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Jambo wakuu? Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Ni ukweli usiopingika kwamba makato kwenye miamala ya simu, LUKU na mabenki yanawaumiza kichwa wananchi...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Leo Mtukufu wa nchi mkuu sana Rais Magufuli wakati akiwaapisha wakuu wa Mikoa wapya na wakuu wa wilaya kula kiapo cha uadilifu alitamka ''Tulikuwa tunafuatilia kwenye revenue, yuko mtu mmoja...
25 Reactions
503 Replies
86K Views
Wilson Mkama aliyewahi kuhudumu kama Katibu Mkuu wa chama cha mapinduzi ccm kwa kipindi fulani huku akikumbukwa sana katika uchaguzi wa marudio kule Igunga Tabora baada ya kuachia ngazi aliyekuwa...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Ni kama vile watanzania wamekubali yaishe , japo malalamiko mengi bado yanaendelea katika mitandao ya kijamii , huku serikali ikijitahidi kuwaaminisha watanzania juu ya matumizi ya tozo...
0 Reactions
0 Replies
673 Views
Ni kama nimesikia kwamba tufikirie kuanza kuchimba madini yaliyopo katika baadhi ya hifadhi zetu. Hoja haipingwi kwa kupigwa rungu lakini nilikuwa nadhani tufikirie na yatokanayo baada ya kuanza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Suala la Rais kusema anawakaribisha wawekezaji wakenya kwenye kuwekeza katika Madin yetu. Ili suala halipo maana Kenya sasa hivi wanalia njaa vibaya nchi ambayo haina mamilionea wa kutosha tena...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom