Hivi inakuwaje Speaker Ndugai unakubari vipi kukaa kusikiliza na kutumia pesa za watanzania na mda wa watanzania kujadili kauli za gwajima kanisani kwake?
Huku wananchi wanalia Maisha magumu...
Leo Jumatatu tarehe 30 Agosti, 2021 Kesi ya Kikatiba ya Mhe. Freeman Mbowe dhidi ya IGP, DPP na Mwanasheria Mkuu wa Serikali imeanza kusikilizwa Mahakama Kuu. Walikuwepo wawakilishi wa Balozi za...
Kuanzia jumapili tutashuhudia mengi, Ndugai anamtisha Waziri wa Mambo ya Ndani kuwa wasipomdhibiti Gwajima, atahojiwa waziri mbele ya Kamati ya Maadili.
Ndugai, Waziri Wkuu aliudanganya umma kuwa...
Ngoja tuone iwapo Askofu Gwajima atajiuzulu.
Ikumbukwe kuwa rekodi pekee ya kijasiri hadi sasa inashikiliwa na aliyekuwa mbunge wa Kigoma kaskazini mh Zitto Kabwe aliyekataa kuomba msamaha baada...
Ameandika Evans Rubara
I have just paid for Luku from @tanescoyetu this evening. Now @TRATanzania tell me what debt you have with me. This is fricking idiotic. Ndg. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Kiukweli baada ya kusikiliza mchango wa Sophia Mwakagenda na nukuu zake za maandiko matakatifu ni dhahiri Chadema haina wabunge pale.
Hii siyo Chadema ile ya akina Tundu Lisu na J J Mnyika...
Hii kamati ilikuwa ya kipuuzi na imenisikitisha. Yaani wamepigwa KO nzuri tu. Hamna lolote ambalo wamelitamka kisomi,kisheria ,kisayansi kuwa ndiyo kosa la Gwajima. HAMNA NI BLAH BLAH tu na kumpa...
Kutokana na utaratibu wa kutoonesha Bunge live, kipindi kinachoonekana huwa ni kile cha maswali na majibu kisha mijadala inapoanza vituo hutakiwa kutika hewani.
Sasa leo tunaomba bunge tv...
Yuko wapi huyu mzee wetu ambaye kwa moyo mweupe alitoa ahadi mbele ya Rais Magufuli kuwa yuko tayari kukatwa mkia na kwa kurudi ccm kwa kuwa Magufuli anashughulika na Suala la Ufisadi ambalo ni...
Habari wakuu, hivi kwa mfano ikitokea rais aliye madarakani akashindwa kuiongoza nchi, akagundua kuwa amepoteza mwelekeo na hana uwezo wa kurudi kwenye mstari, anaweza kuchukua hatua gani ili nchi...
Tunaoamini Kwenye imani ya dini tunajua namna kilio Cha wanawake pale wanapodai haki kinavyoleta laana Kwenye familia. Haiwekani wale wakina Mama wakatoa machozi Yakapita bila kuleta madhara.
Ni...
Mhe. Lukuvi awamu iliyopita alikuwa anazunguka na kutoa amri zakufuta hati kila siku huku akiwatetemesha makampuni ya upimaji wa ardhi yakimbizane na deadlines. Alionekana Kama anajua kazi yake na...
1. Kujaribu kumkenehi waziri wa Afya ambaye anahimiza chanjo
2. Mbowe kushikwa
3. Mbatia na NCCR kuzuiwa kufanya mkutano bila sababu hata waziri anashangaa. Hii ni pamoja na Raisi kuagiza
Sirro...
Dar es Salaam. Baada ya Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro kuwataka askari kutokumuamini mtu, baadhi ya wachambuzi na wanaharakati wamesema kauli hiyo inaleta chuki kati ya wananchi na...
Tunaweza kuwa tunaimiza vichwa juu ya haya yanayoendelea na pengine tukawa hazipati majibu na tunashindwa kuwaelewa hawa watu tuliowapa dhamana kwanini wanafanya au kutenda haya.
Naomba niwaambie...
Hivi majuzi Kuna tamko limetolewa kufungwa kwa ubalozi wa Denmark.
Sisi kwa macho ya haraka tunaona Kama Ni tishia mtoto Tena 2024 halafu tunajisemea kuwa acha waende kainchi kamoja hako...
Nchi ya Zambia baada ya mabadiliko ya chama tawala na Rais, wameamua kulifumua Jeshi la Polisi ikiwa ni kutekeleza ahadi ya Rais wakati akiomba kura. Katika hali ya kustaajabisha, IGP Remmy Kajoba...
Vikao vya bunge la JMT vinaanza leo.
Baadhi ya wabunge wa CHADEMA ambao kimsingi hawatambuliwi na chama chao chenye makao makuu mtaa wa Ufipa siyo mbali sana kutokea pale Hamza alipofanyia...
Hii ndio taarifa mpya inayozunguka duniani kwa sasa , Kwamba Mwamba mwenyewe , Mtemi Isike , Laingwanan ama Ustaadh Aboubakar kama anavyofahamika huko Zanzibar , kesho atafika kwenye Mahakama kuu...
Akihubiri kanisani kwake siku ya Jumapili askofu Gwajima alisema leo Jumanne ataongoza mjadala wa kidunia utakaohusu chanjo ya covid 19 kupitia mitandao ya kijamii.
Miongoni mwa washiriki ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.