Tanzania tuna safari kubwa sana na aina hii ya viongozi

chapangombe

JF-Expert Member
Sep 28, 2014
362
289
Leo ndio nimepima nimejirizisha kuwa kwa Tanzania kuwa na mageuzi ya kiuchumi ni ndoto Tena ya asubuhi. Kama ndio aina ya wabunge ndio hawa wanaochambua.

Mambo Kama vile tuna safari ndefu ndio maana kumbe mambo mengi ya ajabu

Yanapitishwa bungeni mara tozo, mara Kodi nk kumbe tumekosa watu sahihi yaani kumbe chama kile hakitaki kukosolewa hatuwezi kufika

Leo kwa mara ya Kwanza naona spiker anamtisha IGP na waziri wa Mambo ya ndani kukamata mtu.

Nafikiri shida sio elimu Bali tuna mfumo mbaya duniani nadhani kuliko nchi yoyote na leo nimempata sababu kwanini wanalipwa pesa nyingi vile kumbe watu akili waziweke mfukoni.

Yaani Tanzania tumefikia hatua ya kuwa tukiona nyekundu tuseme njano hata kama Ni nyekundu?

Kweli ndio Bunge la kutuvusha kweli hili ?

Aisee wajumbe Mungu anawaona oneni Sasa mmepeleka Nini mule.

Nina neno moja tu kwa Askofu MUDA NI HUU ACHIA HIYO KOFIA YA UBUNGE UTAKUWA MWENYE HESHIMA LAKINI NJIA HIYO UKIENDELEA NAYO YA CHAMA HICHO NAONA GIZA KWAKO WEWE HUFANANA NAO

LA PILI UKITAKA KWENDA UPINZANI NI WAKATI WAKO HUU HAMNA WAKATI MWINGINE LAKINI SHARTI UJIUZURU UASKOFU HUKO NDIO UNAFANANAO LAKINI ULIPO SASA ULIDANGANYIKA
 
Tatizo la hao wabunge wenye elimu Wako sawa na wasiyo na elimu...

Mbunge mstaafu "Bwege" aliwahi kusema "Hatutoboi"
 
Hatuna Viongozi nchi hii.
Leo ndio nimepima nimejirizisha kuwa kwa Tanzania kuwa na mageuzi ya kiuchumi ni ndoto Tena ya asubuhi ,Kama ndio aina ya wabunge ndio hawa wanao chambua

mambo Kama vile tuna safari ndefu ,ndio maana kumbe mambo mengi yaa ajbu

yanapitishwa bungeni mala tozo,mala Kodi,nk kumbe tumekosa watu sahihi yaani kumbe chama kile hakitaki kukosolewa hatuwezi kufika

Leo kwa mala ya Kwanza naona spiker anamtisha IGp na waziri wa Mambo ya ndani kukamata mtu.

Nafikili shida sio elimu Bali tuna mfumo mbaya duniani nadhani kuliko nchi yoyote na leo nimempata sababu kwanini wanalipwa pesa nyingi vile kumbe watu akili waziweke mfukoni.

Yaani Tanzania tumefikia hatua ya kuwa tukiona nyekundu tuseme njano atakama Ni nyekundu ?

Kweli ndio Bunge la kutuvusha kweli hili ?

Aisee wajumbe Mungu anawaona oneni Sasa mmepeleka Nini mule.
Ok
Nina neno moja tu kwa Askofu MUDA NI HUU ACHIA HIYO KOFIA YA UBUNGE UTAKUWA MWENYE HESHIMA LAKINI NJIA HIYO UKIENDELEA NAYO YA CHAMA HICHO NAONA GIZA KWAKO WEWE HUFANANA NAO

LA PILI UKITAKA KWENDA UPINZANI NI WAKATI WAKO HUU HAMNA WAKATI MWINGINE LAKINI SHARTI UJIUZURU UASKOFU HUKO NDIO UNAFANANAO LAKINI ULIPO SASA ULIDANGANYIKA
 
a

askofu ndio alipitisha kodi na tozo?
 
Hii nchi ni saccos ya wala tozo na kodi za dhuluma tu.
Wameacha mali asili zote tulizonazo, na kuna migodi (makaa ya mawe, gesi, dhahabu etc) wamewapa mabeberu na macho madogo kwa hongo ya kufanya state visit sasa wamekuja kumkamua mwananchi anayemtumia mwanaye hela ya ada, chakula, matibabu huko shuleni/chuoni, saidia ndugu zake walio mbali na wasiojiweza kiuchumi.
Wameshindwa kujenga miundo mbinu tangu uhuru licha ya kukabidhiwa nchi na rasilimali zake kama zote
 
WAMEBAKI KUZINDUA MAWE YA MSINGI
 
Leo ndio nimepima nimejirizisha kuwa kwa Tanzania kuwa na mageuzi ya kiuchumi ni ndoto Tena ya asubuhi ,Kama ndio aina ya wabunge ndio hawa wanao chambua

mambo Kama vile tuna safari ndefu ,ndio maana kumbe mambo mengi yaa ajbu

yanapitishwa bungeni mala tozo,mala Kodi,nk kumbe tumekosa watu sahihi yaani kumbe chama kile hakitaki kukosolewa hatuwezi kufika

Leo kwa mala ya Kwanza naona spiker anamtisha IGp na waziri wa Mambo ya ndani kukamata mtu.

Nafikili shida sio elimu Bali tuna mfumo mbaya duniani nadhani kuliko nchi yoyote na leo nimempata sababu kwanini wanalipwa pesa nyingi vile kumbe watu akili waziweke mfukoni.

Yaani Tanzania tumefikia hatua ya kuwa tukiona nyekundu tuseme njano atakama Ni nyekundu ?

Kweli ndio Bunge la kutuvusha kweli hili ?

Aisee wajumbe Mungu anawaona oneni Sasa mmepeleka Nini mule.
Ok
Nina neno moja tu kwa Askofu MUDA NI HUU ACHIA HIYO KOFIA YA UBUNGE UTAKUWA MWENYE HESHIMA LAKINI NJIA HIYO UKIENDELEA NAYO YA CHAMA HICHO NAONA GIZA KWAKO WEWE HUFANANA NAO

LA PILI UKITAKA KWENDA UPINZANI NI WAKATI WAKO HUU HAMNA WAKATI MWINGINE LAKINI SHARTI UJIUZURU UASKOFU HUKO NDIO UNAFANANAO LAKINI ULIPO SASA ULIDANGANYIKA
mala .....MARA
safali......SAFARI
nimejilizisha.......dhi, dhi,dhisha, kaza ulimi nimejiridhisha.
 
Maneno mengi lakini sijaona unataka kusema nini, pointi yako ni ipi? Wabunge wamefanya nini?
 
Kama mtu anawekwa pale kwa Kura za Magumashi na wizi unategemea atakuwa na impact yoyote? Nothing huwezi kupanda Bangi utegemee siku moja kuvuna maharage ama mahindi NEVER
 
Back
Top Bottom